Wembamba huu unanifanya nijihisi dhaifu na mpweke sana

Hhahaha mkuu wembamba Wa reli treni inapita unamaanisha nini zaidi hapo??

Nafikiri anamaanisha cha muhimu ni kuwa fit, wembamba haujalishi bali kuwa na afya tele. Reli nyembamba ila yabeba bonge la mzigo (trni), na iko poa tu.
 
Mkuu, wewe hata sio mrefu...mi urefu wangu ni 189cm tena mwembamba nina miaka 23. Mwanzoni nilikuwa najiona kama niko tofauti sana na wenzangu nikawa nahisi hata nikitongoza nitakataliwa...

Kumbeeee duuuuh nilikuwa najikosesha mwenyewe tu mautamu, kwa sasa nikihitaji demu yeyote napata na kama ananikataa atanikataa kwa sababu nyingine sio urefu wala uwembamba wangu, nawakamua kiasi cha kutosha kbs na nikiondoka wananililia kila mmoja anataka nimuoe...mwisho nimekuja kugundua ilikuwa matatizo tu ya saikolojia...

Kwa sasa natembea kwa kujisikia kabisa
 
Mkuu kuna kitu tunaita body mass index(BMI) ndio inaonesha kama uko kwenye kundi gani kutokana na table iyo hapo kwenye attachment..
Ni hesabu rahisi
BMI= weight(kg)/square of height(m^2)
Kwa uzito wako wa 55kg na kimo cha 176cm inakuja 17.76, soma table hapo
 

Attachments

  • 1412402135768.jpg
    45.8 KB · Views: 1,136

tuheshimiane kijana mi mwembamba name najikubali urefu 220 nakitu za cm.. uzito 59kgs name nadunda mazoez kwa sana na hakuna anaeongea name sijali
 
Last edited by a moderator:
tuheshimiane kijana mi mwembamba name najikubali urefu 220 nakitu za cm.. uzito 59kgs name nadunda mazoez kwa sana na hakuna anaeongea name sijali

cheki sasa matatizo ya walefu mnapenda kujisifia kumbe hamna lolote, kilo 49 naona umeongeza kumi
 
Kwa urefu wako ulipaswa kuwa na uzito wa kg 76.Ikizidi kumi inakuwa obesity,ikipumgua kumi,inakuwa under weight.
Nakushauri uende hospitali umweleze daktari hali yako na anaweza kukushauri kitu cha kufanya.
 
badilisha mpangilio wako wa kula na ongeza portion unazokula...kula milo mingi kama minne kwa siku hio itaongeza ham ya kula! wembamba ukizidi pia ni ugonjwa na unaweza kusababisha magonjwa mengi tu!
 
Watu kila siku tunafanya mazoezi tupunguze kilo, wengine wataka ziongezeke kweli Mungu huyu waajabu sana.
 

Aisee !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…