Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pm
Hhahaha mkuu wembamba Wa reli treni inapita unamaanisha nini zaidi hapo??
Kwani na dushe pia ni nyembamba kijana?
Anko nina dushe la haja hapo nilipendelewa
hahahaaaa mtahangaika sana vijana, la muhimu ni kujikubali, kujitambua, kutafuta mafanikio yako, na kwa umri huo ni tamaa zinazokufanya utamani kuwa kama wengine. Me kipindi nasoma niliitwa majina kibaoo kama KONDE, AFYA MGOGOLO, KID, MOPA, kutokana na uchache wangu, hadi kumtongza demu nimemzidi umri lakini ananiambia we mtoto nakuonea huruma.... humu ndani kuna kijamaa kinaitwa Avatar mok
ni chembamba balaa kikipulizwa na upepo nahusi kinataka kudondoka.
tuheshimiane kijana mi mwembamba name najikubali urefu 220 nakitu za cm.. uzito 59kgs name nadunda mazoez kwa sana na hakuna anaeongea name sijali
cheki sasa matatizo ya walefu mnapenda kujisifia kumbe hamna lolote, kilo 49 naona umeongeza kumi
wafupi nikawaida yao ubisha kitu data kama ni ukwel
usiku mwema
Mkuu, wewe hata sio mrefu...mi urefu wangu ni 189cm tena mwembamba nina miaka 23. Mwanzoni nilikuwa najiona kama niko tofauti sana na wenzangu nikawa nahisi hata nikitongoza nitakataliwa...
Kumbeeee duuuuh nilikuwa najikosesha mwenyewe tu mautamu, kwa sasa nikihitaji demu yeyote napata na kama ananikataa atanikataa kwa sababu nyingine sio urefu wala uwembamba wangu, nawakamua kiasi cha kutosha kbs na nikiondoka wananililia kila mmoja anataka nimuoe...mwisho nimekuja kugundua ilikuwa matatizo tu ya saikolojia...
Kwa sasa natembea kwa kujisikia kabisa
Aisee !!!!