Wembamba tunakazi

inama

Senior Member
Joined
Oct 9, 2021
Posts
181
Reaction score
353
Wanaume wembamba kweli tunakazi yaani kutafta mpenzi huku unakamwili cha ukondefu utasota sanaa balaa nipale ukute unauwembamba wakurithi yaan unapiga mayai maziwa kiti moto lakin wapiii (dahh) hakuna demu anaependa kimbaombaoo kwakwelii minimeshajikatia tamaa kabisaa
???
 
Tumia Mbolea Kulalia Utanenepa Haraka
 
😂mademu wanakuhurumia wanasema "masikini haka ka kaka hakalagi" wengine wanasema "masikini kaka mdogo huyu ana ukimwi😂"
 
Tatizo vimbaombao hakuna nguo mkivaa mnapendeza wanawake wanaoenda kionekano ya nje niamini Mimi.

Nilisota Sana ila baada ya kuanza kula na kushiba I we ugali na matembele SITAKI hata kupungua kilo moja hapa nilipo kwenye kilo 68.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…