Wembamba tunakazi

Wembamba tunakazi

Mrejesho wakuuu nimeoaa nimependwa balaaa Uzi ufungwee hakuna majungu tena by mzee wa inama
 
Wanaume wembamba kweli tunakazi yaani kutafta mpenzi huku unakamwili cha ukondefu utasota sanaa balaa nipale ukute unauwembamba wakurithi yaan unapiga mayai maziwa kiti moto lakin wapiii (dahh) hakuna demu anaependa kimbaombaoo kwakwelii minimeshajikatia tamaa kabisaa
???
kwanza inama halafu pinda mgongo.
 
Wanaume wembamba kweli tunakazi yaani kutafta mpenzi huku unakamwili cha ukondefu utasota sanaa balaa nipale ukute unauwembamba wakurithi yaan unapiga mayai maziwa kiti moto lakin wapiii (dahh) hakuna demu anaependa kimbaombaoo kwakwelii minimeshajikatia tamaa kabisaa
???
Malipo ni hapahapa, hata mimi sipendi wanawake wembamba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom