Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Hapo yuko jf, jukwaa la siasa!!
nishawahi kuwa hivi miaka ya zamani ila saivi namshukuru Mungu kwa hiki kidogo alichonipa๐Hawaangalii ukubwa na unene, wanaangalia uzito na kina...!. Usione reli imekonda, ndiyo inayobeba mabehewa makubwa."
Kwani kilo ya dhahabu na kilo ya sufi ipi Ina thamani kubwa!?View attachment 3597225View attachment 3597226
Nฬimependa anavyojiamini.
Unakimbilia wapi tena?๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Hii sasa Kali!