Wendauchii (Exhibitionism)

. Ninauomba Uislam ukataze watu kujitoa muhanga na kuuwa watu (makafiri) bila makosa wala uhaki wowote.
Una uhakika na hayo unayo yaeleza? Unaweza kutupa ushahidi wa maelezo yako kuwa Uislamu meruhusu?

Je vipi kuhusu yale majeshi ya kikristo kwenye nchi za watu, hayauwi wasio na hatia? Basi umekuwa kweli bazazi hata haya uoni!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…