X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
- Thread starter
- #21
Una uhakika na hayo unayo yaeleza? Unaweza kutupa ushahidi wa maelezo yako kuwa Uislamu meruhusu?. Ninauomba Uislam ukataze watu kujitoa muhanga na kuuwa watu (makafiri) bila makosa wala uhaki wowote.
Je vipi kuhusu yale majeshi ya kikristo kwenye nchi za watu, hayauwi wasio na hatia? Basi umekuwa kweli bazazi hata haya uoni!?