Wendawazimu wadogo wamefanya kile tulichokitarajia

Wendawazimu wadogo wamefanya kile tulichokitarajia

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
ni wale vichwa vya wendawazimu wa under 23 wamefanya kile tulichokirajia wakifata nyayo za wendawazimu wazoefu waliofungwa majuzi
Haya mmeshatoka sasa kalaleni huko na makelele yenu ya kupindua meza,shwaini kabisa
 
Fukuza wote,leta wanakijiji wanaoshindania kombe la mbuzi na mtama
 
ila mkuu msiwahukumu vijana wamejitahidi sana na pia wale wakubwa ndio wanapewa kila kitu mpk nje wanapelekwa kwa mazoezi

Wamejitahidi wapi ndugu ni ujinga mtupu ule, kuna kuna muda unaona kama ni mkosi kuzaliwa Tanzagiza.
 
bongo tunachoweza ni michezo ya kina amber ruty
 
Back
Top Bottom