Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Hufuatilii wewe acha uongo , angalia gemu ya Bournemouth na Arsenal , ile ya 3-3 , halafu muangalie tena alivyotolewa nje kwenye gemu hii ya juzi ya Swansea , hana adabu .naona una kitu,, wote tunafatilia ligi hiyo na sijaona majigambo ya alex licha ya kuwa yeye ni jembe saana..
Ndo hapo sasa af na anataka aongezewe pesaHuyu mchezaji ana tabia za kishamba sana !
Haa ha ha hivi kutoka aondoke Henry na wenzake akina Viera mmepata vikombe vingapi?Hatar Henry aliondoka na
Arsenal haikutetereka sembuse mbwq huyu
Tumechua FA 2 times + iyo ya emirates uliyosemaMakombe mangapi mmechukua zaidi ya yale ya emirates tangu aondeke Henry? Au mafaniko yenu ni top 4 bac.
Hamna cha ubishi, usiongelee mambo kibubusa, weka ushahidi wa majivuno yake ndani ya arsenal, mimi namuona kawaidaUbishi utakusaidia nini ?
Bhas huenda nkamuoa yule dadaakoHaa ha ha hivi kutoka aondoke Henry na wenzake akina Viera mmepata vikombe vingapi?
Au kutetereka kuna maana tofauti kwa ma specialists in failure?kweli wapenzi wa Arsenal wana mioyo migumu.
Ndio maana uwa naamini ukimpata msichana mshabiki wa Arsenal usisite kumuoa,huyo bila shaka ana uvumilivu 100%.
Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .
Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?
Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .
Ni ushauri tu .
Nimejikuta nacheka tu !Haa ha ha hivi kutoka aondoke Henry na wenzake akina Viera mmepata vikombe vingapi?
Au kutetereka kuna maana tofauti kwa ma specialists in failure?kweli wapenzi wa Arsenal wana mioyo migumu.
Ndio maana uwa naamini ukimpata msichana mshabiki wa Arsenal usisite kumuoa,huyo bila shaka ana uvumilivu 100%.
Hatar Henry aliondoka na
Arsenal haikutetereka sembuse mbwq huyu
Hayo makombe mawili madogo kwa miaka mingapi vile?kaazi kwelikweli.Tumechua FA 2 times + iyo ya emirates uliyosema
Sina madada wavumilivu wa kiwango cha kushabikia Arsenal.Bhas huenda nkamuoa yule dadaako
Hata hvo tulivobeba vinahesabika
Huyu kuna hata kimoja ametuletea
Tangu amekuja hapo
Tuambie alichofanya na mechi ipi siyo kulalama tu mkuuKama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .
Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?
Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .
Ni ushauri tu .
Hatar Henry aliondoka na
Arsenal haikutetereka sembuse mbwq huyu
Hayo unayawaza wewe,,Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .
Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?
Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .
Ni ushauri tu .
Asante Mkuu kwa kupasua ukweli.Ukweli Ni Kwamba Jamaa Analipwa Hela Ya Karanga Kwahiyo Anataka Mpunga Hevi na Sio Posho ya Kunywea Gongo.....
Jamaa Lazima Ajiproud Kwasababu ndani Ya Arsenal Anaju na Hela anayopewa ni shit....