Wenger muache Alexis Sanchez aende zake , anadhalilisha timu

naona una kitu,, wote tunafatilia ligi hiyo na sijaona majigambo ya alex licha ya kuwa yeye ni jembe saana..
Hufuatilii wewe acha uongo , angalia gemu ya Bournemouth na Arsenal , ile ya 3-3 , halafu muangalie tena alivyotolewa nje kwenye gemu hii ya juzi ya Swansea , hana adabu .
 
Hatar Henry aliondoka na
Arsenal haikutetereka sembuse mbwq huyu
Haa ha ha hivi kutoka aondoke Henry na wenzake akina Viera mmepata vikombe vingapi?

Au kutetereka kuna maana tofauti kwa ma specialists in failure?kweli wapenzi wa Arsenal wana mioyo migumu.

Ndio maana uwa naamini ukimpata msichana mshabiki wa Arsenal usisite kumuoa,huyo bila shaka ana uvumilivu 100%.
 
tuna muhitaji sana bado sanchez wenger ampe tu mshahara wake wa pound 250,000 kwa week
 
Hizo siasa zako peleka msimbazi na jangwani kaka... Sadly kwa mbele halitawezekana na hata kama likitokea itakuwa ni kwa sababu za kibiashara na sio hayo majungu yako
 
Haa ha ha hivi kutoka aondoke Henry na wenzake akina Viera mmepata vikombe vingapi?

Au kutetereka kuna maana tofauti kwa ma specialists in failure?kweli wapenzi wa Arsenal wana mioyo migumu.

Ndio maana uwa naamini ukimpata msichana mshabiki wa Arsenal usisite kumuoa,huyo bila shaka ana uvumilivu 100%.
Bhas huenda nkamuoa yule dadaako

Hata hvo tulivobeba vinahesabika

Huyu kuna hata kimoja ametuletea
Tangu amekuja hapo
 
Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .

Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?

Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .

Ni ushauri tu .

Hana dharau anahamu ya mafanikio ndani ya Arsenal na wachezaji wengine kuna wakati hawajitumi inavyotakiwa.
 
Haa ha ha hivi kutoka aondoke Henry na wenzake akina Viera mmepata vikombe vingapi?

Au kutetereka kuna maana tofauti kwa ma specialists in failure?kweli wapenzi wa Arsenal wana mioyo migumu.

Ndio maana uwa naamini ukimpata msichana mshabiki wa Arsenal usisite kumuoa,huyo bila shaka ana uvumilivu 100%.
Nimejikuta nacheka tu !
 
Bhas huenda nkamuoa yule dadaako

Hata hvo tulivobeba vinahesabika

Huyu kuna hata kimoja ametuletea
Tangu amekuja hapo
Sina madada wavumilivu wa kiwango cha kushabikia Arsenal.

Wakati wote wachezaji wakali huondoka Arsenal kwa kuona timu haina ambition.Yeye peke yake hawezi kuleta kikombe, kama unabisha waulize akina Fabregas wana vikombe vingapi ukilinganisha nje ya Arsenal ukilinganisha na vikombe walivyopata walipokuwa Arsenal.
 
Bahati nzuri timu za wenzetu haziendeshwi kwa akili za kiTanzania. Huku kwetu Jonas mkude akidai maslahi nd'o huwa tuna'apply kilichoandikwa kwenye huu uzi. Na ndio maana Arsenal kwa kutambua thamani na mchango wa Sanchez wanakwambia mazungumzo bado yanaendelea. Na hiyo ndio tofauti ya wao na sisi.
 
Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .

Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?

Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .

Ni ushauri tu .
Tuambie alichofanya na mechi ipi siyo kulalama tu mkuu
 
Hatar Henry aliondoka na
Arsenal haikutetereka sembuse mbwq huyu

Thierry alipata vikombe vingapi Arsenal?

Toka ameondoka Arsenal imepata vikombe vingapi?

Ukinijibu hapa nitaomba ufafanuzi wa kutotetereka ni nini.
 
Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .

Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?

Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .

Ni ushauri tu .
Hayo unayawaza wewe,,
 
Sanchez ni bora atembee mbele tu apo aseno anapoteza muda tu ..timu mbovuu, kocha m'bovu, menejiment mbovu, asepe tu kama lowasa alivosepa ccm. ..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukweli Ni Kwamba Jamaa Analipwa Hela Ya Karanga Kwahiyo Anataka Mpunga Hevi na Sio Posho ya Kunywea Gongo.....
Jamaa Lazima Ajiproud Kwasababu ndani Ya Arsenal Anaju na Hela anayopewa ni shit....
Asante Mkuu kwa kupasua ukweli.
 
Back
Top Bottom