Wenger muache Alexis Sanchez aende zake , anadhalilisha timu

Hata kama hatujachukua vikombe
Sku za karbun

Tangu amekuja arsenal
Ni kipi cha maana ametusaidia
Unavyosema hata kama hamjachukua makombe ina maana kwenu makombe sio kitu?
 
Hata kama hatujachukua vikombe
Sku za karbun

Tangu amekuja arsenal
Ni kipi cha maana ametusaidia
Unavyosema hata kama hamjachukua makombe ina maana kwenu makombe sio kitu?
 
Mkuu hawa watu sijui wenger kawapa nini, hapa wanamsifia wenger amtimie Alexis ila wakipita ktk majaribu kila shabiki maneno kwa wenger.
 
Mkuu hawa watu sijui wenger kawapa nini, hapa wanamsifia wenger amtimie Alexis ila wakipita ktk majaribu kila shabiki maneno kwa wenger.
 
Mkuu hebu achaga urongo asee, Henry yupi unaemzungumzia??? Tuwe wakweli mkuu, Viera na Henry waliondoka na Arsenal yao., now ipo ya Giroud na Xhaka.
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
 
Sanchez ni bora atembee mbele tu apo aseno anapoteza muda tu ..timu mbovuu, kocha m'bovu, menejiment mbovu, asepe tu kama lowasa alivosepa ccm. ..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!

Kwa kweli hata mimi nashangaa imekuaje mpaka sasa Alexis Na Ozil wapo Arsenal. Hawastahili kuwa pale.
 
Hv we ni supporter wa arsenal kwelii???
 
Tumewazoea kuuza wachezaji nyinyi ubingwa wenu nafasi ya 4 kombe labda waliibe...
 
Bado sijaona shida yoyote ya Alexis Sanchez
 
Kwa manufaa ya KUSHIKA namba nne bora aende... Hahahaahaaaaaa....... Eti kwa manufaa ya timu... Arsenal manufaa yao ni nne tu miaka 14
 
Hatar Henry aliondoka na
Arsenal haikutetereka sembuse mbwq huyu
Henry aliondoka lini!!! Ubingwa wa ligi Arsenal mara ya mwisho lini!!! Ukijibu haya utajua Arsenal imeteteleka
 
Yaani watu bhana. Ukishashiba dona na kuungiwa kifurushi na mjomba basi unaandika lolote tu unalojisikia. Unawezaje kumtuhumu mtu bila kuainisha makosa hayo. Dharau zipi unazozizungumzia au tabia zip za kishamba unazozizungumzia?? After all kama ni suala la malipo ile ni kazi yake na anapaswa kuelezea mahitaji yake pia. Maana hata nje ya soka ana maisha mengine pia. He needs to pay bills na pia umri wake ktk soka la ushindani hauna maisha marefu kihivyo. Je anaiandaa vipi kesho yake?? Asijeishia kuwa kapuku kama akina George Best ingawa yeye sana sana aliathiriwa na ulevi na starehe zilizopitiliza.
[HASHTAG]#Tunasemajeeee[/HASHTAG].....
Even if Alexis demands the the palace to stay THE QUEEN HAS TO GO!! [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…