Umeshasema Barca, Barca angeweza kumuweka Bench Neymar au Messi?Alipokuwa Barcelona alikuwa analipwa £40,000 kwa wiki kumbuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshasema Barca, Barca angeweza kumuweka Bench Neymar au Messi?Alipokuwa Barcelona alikuwa analipwa £40,000 kwa wiki kumbuka!
Henry akaenda zake Barca na akabeba UEFA, angekaza shingo kubaki Arsenal asingebeba hili kombe.Makombe mangapi mmechukua zaidi ya yale ya emirates tangu aondeke Henry? Au mafaniko yenu ni top 4 bac.
Unavyosema hata kama hamjachukua makombe ina maana kwenu makombe sio kitu?Hata kama hatujachukua vikombe
Sku za karbun
Tangu amekuja arsenal
Ni kipi cha maana ametusaidia
Unavyosema hata kama hamjachukua makombe ina maana kwenu makombe sio kitu?Hata kama hatujachukua vikombe
Sku za karbun
Tangu amekuja arsenal
Ni kipi cha maana ametusaidia
Mkuu hawa watu sijui wenger kawapa nini, hapa wanamsifia wenger amtimie Alexis ila wakipita ktk majaribu kila shabiki maneno kwa wenger.Haa ha ha hivi kutoka aondoke Henry na wenzake akina Viera mmepata vikombe vingapi?
Au kutetereka kuna maana tofauti kwa ma specialists in failure?kweli wapenzi wa Arsenal wana mioyo migumu.
Ndio maana uwa naamini ukimpata msichana mshabiki wa Arsenal usisite kumuoa,huyo bila shaka ana uvumilivu 100%.

Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Mkuu hebu achaga urongo asee, Henry yupi unaemzungumzia??? Tuwe wakweli mkuu, Viera na Henry waliondoka na Arsenal yao., now ipo ya Giroud na Xhaka.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Sanchez ni bora atembee mbele tu apo aseno anapoteza muda tu ..timu mbovuu, kocha m'bovu, menejiment mbovu, asepe tu kama lowasa alivosepa ccm. ..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtoa post ni kenge
Hv we ni supporter wa arsenal kwelii???Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .
Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?
Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .
Ni ushauri tu .
Kwa manufaa ya KUSHIKA namba nne bora aende... Hahahaahaaaaaa....... Eti kwa manufaa ya timu... Arsenal manufaa yao ni nne tu miaka 14Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .
Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?
Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .
Ni ushauri tu .
Henry aliondoka lini!!! Ubingwa wa ligi Arsenal mara ya mwisho lini!!! Ukijibu haya utajua Arsenal imetetelekaHatar Henry aliondoka na
Arsenal haikutetereka sembuse mbwq huyu
Wa Pete....Kwa mpira gani!!!?
Mjomba huku kwetu Tandika MwembeYanga Matusi ni sehemu ya salamu , kwahiyo usijali chochote .Mkuu Muombe Radhi Erythrocyte Kwani Ni Mdau Wetu Wa JF kwa Siku Nyingi.... Si Busara Kumwita Hivyo.....