OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Si ndio mkuu ..asepe zake tuu anapoteza time paleeHa ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
Kwa kweli hata mimi nashangaa imekuaje mpaka sasa Alexis Na Ozil wapo Arsenal. Hawastahili kuwa pale.
Usisubiri kutafuniwa kila kitu , suala hapa si mshahara , umepewa tip , hebu jiongeze mwenyewe .Yaani watu bhana. Ukishashiba dona na kuungiwa kifurushi na mjomba basi unaandika lolote tu unalojisikia. Unawezaje kumtuhumu mtu bila kuainisha makosa hayo. Dharau zipi unazozizungumzia au tabia zip za kishamba unazozizungumzia?? After all kama ni suala la malipo ile ni kazi yake na anapaswa kuelezea mahitaji yake pia. Maana hata nje ya soka ana maisha mengine pia. He needs to pay bills na pia umri wake ktk soka la ushindani hauna maisha marefu kihivyo. Je anaiandaa vipi kesho yake?? Asijeishia kuwa kapuku kama akina George Best ingawa yeye sana sana aliathiriwa na ulevi na starehe zilizopitiliza.
[HASHTAG]#Tunasemajeeee[/HASHTAG].....
Even if Alexis demands the the palace to stay THE QUEEN HAS TO GO!! [emoji1] [emoji1]
No ! Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Simba , lakini pia ni mchambuzi wa soka asiye na mipaka .Hv we ni supporter wa arsenal kwelii???
Aende tutavumilia kutopata makombe,mbona Liverpool wanawezaKama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .
Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?
Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .
Ni ushauri tu .
Unajaribu kumlinganisha Sanchez wa barcelona na huyu wa sasa?Alipokuwa Barcelona alikuwa analipwa £40,000 kwa wiki kumbuka!
Hiki ndicho minachokikataa kumtuhumu mtu pasi na ushahidi. Mimi no mfuatiliaji sana wa mambo hususani yanayoihusu klabu yangu pendwa ya Arsenal. Ndio maana hapa naona unaandika porojo tu. Ndo maana ht juzi DT alikwambia "anyone who says Alexis is not happy at Arsenal has to f*...Usisubiri kutafuniwa kila kitu , suala hapa si mshahara , umepewa tip , hebu jiongeze mwenyewe .
Hiki ndicho minachokikataa kumtuhumu mtu pasi na ushahidi. Mimi no mfuatiliaji sana wa mambo hususani yanayoihusu klabu yangu pendwa ya Arsenal. Ndio maana hapa naona unaandika porojo tuUsisubiri kutafuniwa kila kitu , suala hapa si mshahara , umepewa tip , hebu jiongeze mwenyewe .
Mkuu hapa issue sio kaandika nani, issue ni kaandika nini.... Angekuwa kaandika cha maana ama kuleta uthibitisho wa akisemacho nisingethubutu kumpinga. Au basi angesema tu kwa maoni yake Alexis aachwe aondoke sawa. lkn sio kujaribu kutuaminisha uongo.Mkuu Muombe Radhi Erythrocyte Kwani Ni Mdau Wetu Wa JF kwa Siku Nyingi.... Si Busara Kumwita Hivyo.....
Sikuona vema post iliyojibiwa. Sorry, nilidhani umeandika kuijibu post yangu. Samahani sikuwa makini ktk hiliMkuu Muombe Radhi Erythrocyte Kwani Ni Mdau Wetu Wa JF kwa Siku Nyingi.... Si Busara Kumwita Hivyo.....
Jifunze kiswahili wewe teteleka Ndio nini?Henry aliondoka lini!!! Ubingwa wa ligi Arsenal mara ya mwisho lini!!! Ukijibu haya utajua Arsenal imeteteleka
Mkuu Wenger anapitava Jf siku hizi nini?Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka na unafuatilia mechi za Arsenal hivi karibuni , basi bila shaka utakumbana na tabia za Kishamba kabisa zinazoonyeshwa na Sanchez .
Ni mchezaji anayejiona ni bora kuliko yoyote ndani ya kikosi chake , na anadhani ni bora kuliko hata kocha wake ! Ni mchezaji ambaye anamdharau kila mchezaji wa timu yake , sijui ni nani kamdanganya ?
Kwa manufaa ya timu ni heri huyu mchezaji aruhusiwe kuondoka kwenda china kama anavyotaka , Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .
Ni ushauri tu .
Imekuingia myuuuuuuuuuuuuuuJifunze kiswahili wewe teteleka Ndio nini?
Inzi sehemu yake ni chooni endelea kula maviiImekuingia myuuuuuuuuuuuuuu
MyuuuuuuuuuuuuInzi sehemu yake ni chooni endelea kula mavii