Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #81
Bado unaamini ni porojo ?Hiki ndicho minachokikataa kumtuhumu mtu pasi na ushahidi. Mimi no mfuatiliaji sana wa mambo hususani yanayoihusu klabu yangu pendwa ya Arsenal. Ndio maana hapa naona unaandika porojo tu. Ndo maana ht juzi DT alikwambia "anyone who says Alexis is not happy at Arsenal has to f*...
Hapana shaka km u mpenzi na mfuatiliaji utanielewa
Hiki ndicho minachokikataa kumtuhumu mtu pasi na ushahidi. Mimi no mfuatiliaji sana wa mambo hususani yanayoihusu klabu yangu pendwa ya Arsenal. Ndio maana hapa naona unaandika porojo tu
Wekeni 90 mezani tuMuacheni aje Chelsea jamani
Sent from my GT-N5100 using JamiiForums mobile app
Bado unaamini ni porojo ?
unapata wapi mchezaji mpambanaji kama sanchez ktk kizazi hiki,ni bora kumbakisha mpaka mwisho wa msimu then aondoke zake,lakini si kumuuza kirahisi hivyo,na zaidi ujinga ni wa arsenal wenyewe haswaa wenger, ni vipi usubiri wachezaji wamebakisha mwaka mmoja ktk contract zao ndio uanze kunegotiate nao,na si mmoja,wachezaji muhim zaidi ya watatu.Wenger inafaa auze huyu mtu mara moja. No player is bigger than the club. Infact amuuze China ama any other European club but sio Man City or any English club.
We brought this dude from Barcelona where he was having a little game time. With Wenger's patience and belief, he has gained world's exposure now he thinks he is everything and wants an exit? Let him go. We need harmony in the team. Nenda mwana wa kwenda.
Atapotea kama walivyopotea kina RVP, Clichy, Sagna, Hleb, Song.
unapata wapi mchezaji mpambanaji kama sanchez ktk kizazi hiki,ni bora kumbakisha mpaka mwisho wa msimu then aondoke zake,lakini si kumuuza kirahisi hivyo,na zaidi ujinga ni wa arsenal wenyewe haswaa wenger, ni vipi usubiri wachezaji wamebakisha mwaka mmoja ktk contract zao ndio uanze kunegotiate nao,na si mmoja,wachezaji muhim zaidi ya watatu.
Arsenal itabaki kama ilivyobaki walipoondoka wengine wakali kuliko huyu .
Ni ushauri tu .
Anataka kulipwa mia 4 , anataka kulipwa kuliko messi ama ronaldo !Sikatai kuwa Sanchez ni mchezaji mpambanaji sana. But tatizo ni unapoanza kuwaza kuwa hauwezi kupata mchezaji wa kumReplace Sanchez, ndio na yeye anazidi kupata kiburi na kuharibu mentality za wachezaji wengine ndani ya Arsenal.
Tunahitaji amani. Amekuwa mbishi tokea tupoteze mechi yetu na Bayern Munich na hii imepelekea matokeo yetu kuwa ovyo ovyo kabisa mpaka kukosa qualification ya Champions League. Halafu unataka alazimishwe abaki????? Ikiwa anataka kubaki, abaki kwa hiari but si lazima.
Anataka kulipwa mia 4 , anataka kulipwa kuliko messi ama ronaldo !