Wenger muache Alexis Sanchez aende zake , anadhalilisha timu

Hiki ndicho minachokikataa kumtuhumu mtu pasi na ushahidi. Mimi no mfuatiliaji sana wa mambo hususani yanayoihusu klabu yangu pendwa ya Arsenal. Ndio maana hapa naona unaandika porojo tu. Ndo maana ht juzi DT alikwambia "anyone who says Alexis is not happy at Arsenal has to f*...

Hapana shaka km u mpenzi na mfuatiliaji utanielewa

Hiki ndicho minachokikataa kumtuhumu mtu pasi na ushahidi. Mimi no mfuatiliaji sana wa mambo hususani yanayoihusu klabu yangu pendwa ya Arsenal. Ndio maana hapa naona unaandika porojo tu
Bado unaamini ni porojo ?
 
Arsenal ilikuwepo kabla sunchez hajazaliwa walikuwepo Akina Mack overmas waliondoka arsernal imebaki hadi leo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wenger inafaa auze huyu mtu mara moja. No player is bigger than the club. Infact amuuze China ama any other European club but sio Man City or any English club.

We brought this dude from Barcelona where he was having a little game time. With Wenger's patience and belief, he has gained world's exposure now he thinks he is everything and wants an exit? Let him go. We need harmony in the team. Nenda mwana wa kwenda.

Atapotea kama walivyopotea kina RVP, Clichy, Sagna, Hleb, Song.
 
unapata wapi mchezaji mpambanaji kama sanchez ktk kizazi hiki,ni bora kumbakisha mpaka mwisho wa msimu then aondoke zake,lakini si kumuuza kirahisi hivyo,na zaidi ujinga ni wa arsenal wenyewe haswaa wenger, ni vipi usubiri wachezaji wamebakisha mwaka mmoja ktk contract zao ndio uanze kunegotiate nao,na si mmoja,wachezaji muhim zaidi ya watatu.
 
Sikatai kuwa Sanchez ni mchezaji mpambanaji sana. But tatizo ni unapoanza kuwaza kuwa hauwezi kupata mchezaji wa kumReplace Sanchez, ndio na yeye anazidi kupata kiburi na kuharibu mentality za wachezaji wengine ndani ya Arsenal.

Tunahitaji amani. Amekuwa mbishi tokea tupoteze mechi yetu na Bayern Munich na hii imepelekea matokeo yetu kuwa ovyo ovyo kabisa mpaka kukosa qualification ya Champions League. Halafu unataka alazimishwe abaki????? Ikiwa anataka kubaki, abaki kwa hiari but si lazima.
 
Anataka kulipwa mia 4 , anataka kulipwa kuliko messi ama ronaldo !
 
Kwanza alisema hawezi kuongeza contract coz anaona Arsenal hawana ambition ya kushinda league. Wenger amejitahidi na kununua players kina Lacazzete na saa hii wanamuania Lemar. These are good players. But still hajaridhika.

Pili akasema aongezewe mshahara uwe pauni elfu 400 (£400,000). Arsenal wakasema watajitahidi kumuongezea.

Now anasema anataka kucheza Champions league na anajua fika Arsenal haijaQualify. Huu ni utoto, hizi ni tabia za kibinti. Hii inamaanisha hana haja ya kuwepo Arsenal so anatafuta kila sababu. Wamuuze tu tupate pesa kuliko akatae kuSign kisha auzwe bure.
 
sanchez asepe tu, chelsea msimu uliopita hata europa league hawakushiriki ila hazard, costa hawakuondoka, yeye ni nani kwenye timu. wenger amshushe lemar. mambo yatakuwa fresh
 
Back
Top Bottom