Wacha iwe ivo tuYes, Ni Future kisoko kwaajili ya bidhaa zao.
Juzi tu hapa matawala ya Africa yameitwa Urusi, yakawa yanaoneshwa silaha yanachekelea kama mabolizozo..
Mbuzi Jike Malaya, Kokote Anapigwa Pampu Tu: Tabu sana ....
Beberu Marekani anatongoza.
Akitoka Anakuja Beberu Mchina Naye Anamwambia, Achana Na Mmarekani Mimi Ndo Beberu La Mbegu..
Mara Beberu Britain Nalo Halitaki Kubaki Nyuma.
Miaka karibu 60 ya uhuru bado tunapigana kamba,nchi hii hakuna mikakati bado ya kututoa tulipokwama!Wacha iwe ivo tu
Hata marekani alikuwa mke wa mwingereza akawa anapelekewa watumwa wanalima mazao yanasafirishwa uingireza..alipoendelea ikawaje???
Marekani nae akamuoa china akawa anamtumia kama cheap labour maviwanda kama iphone na mengine yakajengwa china kwakuwa waliwaona ni wachapakazi na ni cheap labour.. China walipoendelea imekuwaje??
Wacha nasisi watuoe saivi watuone cheap labour wajenge maviwanda huku ili watuuzie bidhaa zao huku huku ila tukishaendelea wataisoma namba.
Ndo maana kila big power anakimbilia kufanya Afrika-Summit, kuna China-Afrika summit, EU-Afrika, Japani - Afrika, Urusi- Afrika, hata Uingereza naye juzi kati kafanya summit na Afrika, wote hawataki kuachwa nyuma, Afrika ndo future, US anasinyaa na wala hawezi kumtisha kila mtu tena anavyotaka, Libya ilikuwa ni Vita ya mwisho, alijaribu kumtoa Asadi Syria kashindwa, kajaribu kumtoa Maduro wa Venezuela kashindwa, kila mahali wanagoma shauli kuna options nyingi leo hii, ila naona akina Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. bado wako stuck kwenye old World, bado wanakimbilia kushitaki kwa Muzungu karne hii ya 21? Ndo maana labda USA katupiga mkwara sisi kimya wala hatuhangaiki naye kumjibu, ...
Kashindwa Korea, kasindwa Iran, hatawenzie wa Uturuki hawakumsikiliza wakati wananunua silaha Urusi! I agree there are many optionsNdo maana kila big power anakimbilia kufanya Afrika-Summit, kuna China-Afrika summit, EU-Afrika, Japani - Afrika, Urusi- Afrika, hata Uingereza naye juzi kati kafanya summit na Afrika, wote hawataki kuachwa nyuma, Afrika ndo future, US anasinyaa na wala hawezi kumtisha kila mtu tena anavyotaka, Libya ilikuwa ni Vita ya mwisho, alijaribu kumtoa Asadi Syria kashindwa, kajaribu kumtoa Maduro wa Venezuela kashindwa, kila mahali wanagoma shauli kuna options nyingi leo hii, ila naona akina Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. bado wako stuck kwenye old World, bado wanakimbilia kushitaki kwa Muzungu karne hii ya 21? Ndo maana labda USA katupiga mkwara sisi kimya wala hatuhangaiki naye kumjibu, ...
Subirini muone. Endeleeni tu kutiana ujinga hapo LumumbaUkiona Pompeo anamuongelea Paul Makonda ujue kisu kimeugusa mfupa.
Ujumbe mzito sana umewafikia wamarekani kupitia uanzishwaji wa TWIGA.
Natural pride ya JPM haipendwi na hawa wakoloni, wanataka tuendelee kuwa vipaza sauti tu, hakuna hicho kitu.
Kashindwa nini Korea?? Unajua hali ya kiuchumi ya Korea na wananchi wake???Kashindwa Korea, kasindwa Iran, hatawenzie wa Uturuki hawakumsikiliza wakati wananunua silaha Urusi! I agree there are many options
Wewe dada bado uko usingizi wa pono. Endeleeni kujilisha upepo tu hapo Lumumba.Ndo maana kila big power anakimbilia kufanya Afrika-Summit, kuna China-Afrika summit, EU-Afrika, Japani - Afrika, Urusi- Afrika, hata Uingereza naye juzi kati kafanya summit na Afrika, wote hawataki kuachwa nyuma, Afrika ndo future, US anasinyaa na wala hawezi kumtisha kila mtu tena anavyotaka, Libya ilikuwa ni Vita ya mwisho, alijaribu kumtoa Asadi Syria kashindwa, kajaribu kumtoa Maduro wa Venezuela kashindwa, kila mahali wanagoma shauli kuna options nyingi leo hii, ila naona akina Zito Kabwe, Tundu Lisu & Co. bado wako stuck kwenye old World, bado wanakimbilia kushitaki kwa Muzungu karne hii ya 21? Ndo maana labda USA katupiga mkwara sisi kimya wala hatuhangaiki naye kumjibu, ...
Kutiana ujinga ni aina ya maoni yako yaliyojaa uoga.d
Subirini muone. Endeleeni tu kutiana ujinga hapo Lumumba