YAHERI MUNGU
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 318
- 215
Siyo kuwa nimechezea cha mpavu! Nimejaribu kuwa ninasoma POSTS zinazochapishwa humu Jf, hasa Love Connect, na nimegundua kuwa wanaokuwa wanachapisha posts ni watu walewale ila wanabadilisha ID zao. Hivyo, naamini kuwa wanawapata wanaume au wanawake halafu pengine unakuta mtu alivyotarajiwa sivyo inavyokuwa. Mimi ni msomaji tu wa POSTS za humu ndani na wala siwezi kutafuta mwanamke kwa njia ya mtandao. Mimi mwanamke wangu tayari ninaye na nimedumu naye kwa muda wa miaka minne na nusu hadi leo. Hivyo, mimi ninawapa ushauri tu maana naona kwa muda mrefu wanaoleta machapisho ni walewale ila kinachobadilika ni IDs zao tu.Mleta mada umechezea cha mbavu nini?
Upo sahihi kabisa.Siyo kuwa nimechezea cha mpavu! Nimejaribu kuwa ninasoma POSTS zinazochapishwa humu Jf, hasa Love Connect, na nimegundua kuwa wanaokuwa wanachapisha posts ni watu walewale ila wanabadilisha ID zao. Hivyo, naamini kuwa wanawapata wanaume au wanawake halafu pengine unakuta mtu alivyotarajiwa sivyo inavyokuwa. Mimi ni msomaji tu wa POSTS za humu ndani na wala siwezi kutafuta mwanamke kwa njia ya mtandao. Mimi mwanamke wangu tayari ninaye na nimedumu naye kwa muda wa miaka minne na nusu hadi leo. Hivyo, mimi ninawapa ushauri tu maana naona kwa muda mrefu wanaoleta machapisho ni walewale ila kinachobadilika ni IDs zao tu.
Naomba mnielewe vizuri! Mimi sina shida wala sijapost ili kutafuta mwanamke humu wakati huku USWAHILINI WAPO WENGI SANA na ninashinda nao!! Mimi ni msomaji na mchangiaji wa mada zinazoletwa humu ndani ya JF kama ilivyo kwa wasomaji na wachangiaji wengine. Hivyo, kwa muda mrefu unakuta POST na CONTENTS zake ni zilezile ila kinachobadilika ni IDs' tu. Sasa unaweza ukajiuliza swali kuwa "Ni kweli mtu anaweza kuwa anapost humu JF kwa kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja na akawa anakosa tu?" Hili ni jukwaa huru la jamii, hivyo na mimi ninachangia kama walivyo wanajamii wengine na siyo kutafuta mwanamke! Mwanamke tayari ninaye na sikumpata humu, nilimpata kipindi niko mwaka wa kwanza Chuoni.Jamaa imempain sana naamini wamekupata