Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Pia ni mzaliwa wa BrazilFormer Spain captain
Hajawahi kuwa Captain labda wa mechi kadhaaFormer Spain captain
Thread closedMarcos Sena.
2006 Arsenal walikiona katikati ya uwanja..Thread closed
Marcos Senna dimba la chini2006 Arsenal walikiona katikati ya uwanja..
2008 Ujerumani walikiona Cha mtema kuni katikati ya uwanja.
ile mechi sijawahi isahau Roman kukosa penalty alifanya nikawa na siku mbaya Sana dhidi ya wana Arsenyeto.Marcos Senna dimba la chini
Juan Roman Riquelme dimba la juu
Villareal ya moto sana