Ukweli mie hupenda sana mtu atueleze kuhusu masuala ya maendeleo yetu kama nchi na jinsi yanavotuathiri sisi watanzania na kama kuna maeneo ya kujirekebisha tufanyeje. Lkn wkt mwingi nashangaa watu wengine wanaleta mada za wamarekani wavuta bangi waliouana huko na kwa jinsi gani walivuta bangi zao wakapigana risasi na kuuana. Sasa haya mambo ya kishenzi yanatusaidiaje sisi katika maisha yetu huku? Naamini haya ni mambo ya kuiga maana hata mtoa mada katika ukoo wao naamini Tupac hukuwah kumwona na ukwel ni kwamba hakujui na hata ndugu zake hawakuelewi wewe ulieko sijuo wap huko. Na kama ungekujua inakusaidiaje wewe?? Naomba tutumie akili zetu vizuri kwa maendeleo yetu jaman watanzania. Kaa fikiria kabla ya kuandikia