A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Nov 22, 2015 #1 Nimefuatilia kwa muda akaunti za Facebook nimeona kuna katabia cha kuweka picha selfie na wakati mwingine kupiga picha chakula Najiuliza hivi hivyo ndivyo vitu pekee vyenye umuhimu kwetu. Wenye haka kaugonjwa embu pokeeni dawa mpone. ..maana naona miaka inaenda bado hamponi
Nimefuatilia kwa muda akaunti za Facebook nimeona kuna katabia cha kuweka picha selfie na wakati mwingine kupiga picha chakula Najiuliza hivi hivyo ndivyo vitu pekee vyenye umuhimu kwetu. Wenye haka kaugonjwa embu pokeeni dawa mpone. ..maana naona miaka inaenda bado hamponi
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Nov 22, 2015 #2 Kupiga picha chakula...?cha watoto?
A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Nov 29, 2015 Thread starter #3 Pia kaugonjwa cha kupiga picha mko bar mnalewa
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,497 Reaction score 4,775 Nov 29, 2015 #4 haka katabia bhana,mayai ya kichina
A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Nov 30, 2015 Thread starter #5 Kaugonjwa kanaendelea. ..iweje mtu uji wish happybirthday wewe mwenyewe. ...utaona mtu anasema happybirthday to me! ajabu.
Kaugonjwa kanaendelea. ..iweje mtu uji wish happybirthday wewe mwenyewe. ...utaona mtu anasema happybirthday to me! ajabu.
A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Dec 13, 2015 Thread starter #6 Kaugonjwa kengine kwa wadada. Kupiga picha ukionyesha makalio hii naonaga kama ni tabia isiyofaa
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,056 Dec 14, 2015 #7 aaamuk said: Kaugonjwa kanaendelea. ..iweje mtu uji wish happybirthday wewe mwenyewe. ...utaona mtu anasema happybirthday to me! ajabu. Click to expand... Hata mie huwa naiona hii fb na insta kumbe hairuhusiwi?
aaamuk said: Kaugonjwa kanaendelea. ..iweje mtu uji wish happybirthday wewe mwenyewe. ...utaona mtu anasema happybirthday to me! ajabu. Click to expand... Hata mie huwa naiona hii fb na insta kumbe hairuhusiwi?
N Ndusty JF-Expert Member Joined Apr 27, 2009 Posts 407 Reaction score 146 Dec 14, 2015 #8 aaamuk said: Kaugonjwa kengine kwa wadada. Kupiga picha ukionyesha makalio hii naonaga kama ni tabia isiyofaa Click to expand... biashara matangazo mkuu
aaamuk said: Kaugonjwa kengine kwa wadada. Kupiga picha ukionyesha makalio hii naonaga kama ni tabia isiyofaa Click to expand... biashara matangazo mkuu
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 28,064 Reaction score 31,401 Dec 14, 2015 #9 Mwendo Wa misifa
A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Dec 15, 2015 Thread starter #10 Hata haka ni kaugonjwa sugu. ...kupiga picha kwenye vitanda vya hotelini. .. Na magari ya watu
A aaamuk JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 707 Reaction score 209 Dec 23, 2015 Thread starter #11 Unakukuta mtu ulaya aliendaga miaka sita iliyopita. ...lakini mpaka leo anapost mipicha ...haka kaugonjwa nako mnatakiwa mpate tiba mpone
Unakukuta mtu ulaya aliendaga miaka sita iliyopita. ...lakini mpaka leo anapost mipicha ...haka kaugonjwa nako mnatakiwa mpate tiba mpone