Wengi mna haka kaugonjwa

Wengi mna haka kaugonjwa

aaamuk

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
707
Reaction score
209
Nimefuatilia kwa muda akaunti za Facebook nimeona kuna katabia cha kuweka picha selfie na wakati mwingine kupiga picha chakula

Najiuliza hivi hivyo ndivyo vitu pekee vyenye umuhimu kwetu.

Wenye haka kaugonjwa embu pokeeni dawa mpone. ..maana naona miaka inaenda bado hamponi
 
Pia kaugonjwa cha kupiga picha mko bar mnalewa
 
Kaugonjwa kanaendelea. ..iweje mtu uji wish happybirthday wewe mwenyewe. ...utaona mtu anasema happybirthday to me!


ajabu.
 
Kaugonjwa kanaendelea. ..iweje mtu uji wish happybirthday wewe mwenyewe. ...utaona mtu anasema happybirthday to me!


ajabu.

Hata mie huwa naiona hii fb na insta kumbe hairuhusiwi?
 
Hata haka ni kaugonjwa sugu. ...kupiga picha kwenye vitanda vya hotelini. ..

Na magari ya watu
 
Unakukuta mtu ulaya aliendaga miaka sita iliyopita. ...lakini mpaka leo anapost mipicha ...haka kaugonjwa nako mnatakiwa mpate tiba mpone
 
Back
Top Bottom