Wengi msimshangae Ali Kiba, hakuna mtu anayempenda Diamond kama Ali Kiba

Wengi msimshangae Ali Kiba, hakuna mtu anayempenda Diamond kama Ali Kiba

Kama kanumba alivyoondoka na ray ukwl ndio huo..mond atakapopita kiba naye ndio hapo hapo kiba hajui kujiongeza k.ukwl labda mavazi tu kiba havai gold ni culture culture tu..ila kila kitu ni copy n paste from simba wanafeli kutuambia eti wana haiba tofati wanafanya muziki siku mond akiondoka andiko langu litatimia
 
Wengi wanamshangaa sana allykiba kwann hataki kupatanishwa na Diamond. Jibu ni simple tu..Dogo Ali yupo kwasababu ya kiki ya Diamond. Unamkumbuka kanumba na Ray ( Kigosi). Japo Ray aliaanza tokea zamani kwenye filamu na maigizo but hakuweza kumfikia Kwa nusu kipaji cha kanumba.

Kipind kile watu walikuwa wanawafananisha Ray na Kanumba..!! Kufaninishwa kule kulifanya hata wasanii km JB waonekane hawajui sana Kwa Ray. Japo hawa wawili hawakuwa na bifu but walitengeneza kaushindani ambapo kalikuwa kanambeba sana Ray..!! Leo kanumba hayupo, Ray kapotea sana..Ray hatrend kwenye muvi tena...anatrend Kwa mikorogo tu.

Tuje Kwa kiba.
Kiba anajua kabsa Siku atakayopatana na Diamond basis ndo mwisho wa kutrend. Kwa miziki anayoimba kiba anahitaji promo sana. Ile hata kumuandika hivi ni kumpa promo.

Kuna kipind Fulani nilikutana na abdu kiba( mdogo wa kiba) nilimuuliza mbn mnaweka bifu sana Kwa diamond wakati hana time na nyie..!! Alichojibu abdu alisema ni masuala ya kibiashara tu. Ali hamchukii diamond km watu wanavyodhani, but kuwa na bifu na Diamond kunamfanya anapata attention.

Abdu aliniambia pia hii bifu ilitengenezwa na clouds FM ili wawe wanapata watu kwenye fiesta Kwa uwepo wa alikiba kwakuwa diamond anawazinguaga clouds kwenye shoo za fiesta za mikoani.

Tusimlaumu sana kiba..kiba siyo msanii mzuri, yeye mwenyewe anajijua na hawezi kuwa msanii Mkubwa akikosa attention za diamond...!! Kiba bila diamond hana kitu.

Kwann diamond anamuhitaji kiba kipindi hiki?
Diamond mfanya biashara..na anataka kuwashawishi wasanii wa bongo fleva waingie makubaliano kwenye website yao ya kuuza mziki. Diamond mtoto wa mjini yupo radhi ajijushe ili apate mkwanja. Na Diamond anajua siku akipatana na kiba tu basi kiba Keisha Habari yake.

But kiba utatumia mgongo wa dai mpaka lini. ?

Ushauri Kwa diamond
Hawa wasanii wako wadogo kabla ya kutoa jiridhishe uwezo wao. Walianza vizuri but naona uwezo wao mdogo sana. Angalia kijuso ray/Dada ako sijui hata wameimba nini?

Niambie ya harmonise nyimbo ya kawaida sana. Mlianza vyema naona wenzako watakuangusha soon.hata producer laizer naye angalia kiwango chake.
hii mijadala kumbe bado ipo mpk siku hizi?
 
Diamond balaaa...siyo nyomi ile Rwanda
 
Beef ya mondi na kiba ishakuwa ya kawaida hata humu jamii forum siku hizi wachangiaji wamepungua, sio kama zamani naona watu washaona ushakuwa utoto, hata kijiwe ninachokaa tokea mwaka huu uanze hatuja discuss hii beef, japokuwa naamini Diamond anambeba sana kiba.
 
Kiba ni Mwimbaji kumbe? hvi msaniii anaetumia AUTOTUNE karibia nyimbo zote huyo nae mnamwita MUIMBAJI..

Mi nadhani Alikiba Ni muandishi mzuri wa Nyimbo na Mashairi ila Katka swala la Kuimba Sijawahi waza kama Kiba ni muimbaji...

Ebu sikiliza Kisauti cha Alikiba kinavyoptishwa kwenye mitambo mpaka kinatoa wimbo ni hamjui tu Ma producer wanapata kazi gani..

Tafuta producer akwambie Muimbaji kat ya Kiba Na Diamond ni nani...

Kiba aimbe bila Instrumental na Diamond aimbe bila instrumental Uone kama uTamsikiliza huyo ALIKIBA...

Sauti inapkwa mwanzo mwisho na Vi yoooooooo vingiiiiiiii....

UJE UMFANANISHE DIAMOND na KIBA haya ni Matusi...

Diamond ANAIMBA
Diamond Anatunga
Diamond Mbunifu
Diamond Mfanyabiashara

Alikiba Mwandikaji
Kuimba anaimba ila sio kwa level za Diamond...

kisaut mpk kipakwe carolight ndo ukielewe...

Nenda Live show ya Diamond na Live show ya Kiba utajua naongelea nini kuhusu.Sauti.

Tumwache DIAMOND kila kitu kina muda wake..lazima tukubali huu ndo muda wake..utapita atakuja mwingine...saivi tutulie tu.
 
Ushauri Kwa diamond
Hawa wasanii wako wadogo kabla ya kutoa jiridhishe uwezo wao. Walianza vizuri but naona uwezo wao mdogo sana. Angalia kijuso ray/Dada ako sijui hata wameimba nini?

Niambie ya harmonise nyimbo ya kawaida sana. Mlianza vyema naona wenzako watakuangusha soon.hata producer laizer naye angalia kiwango chake.
kwa mtazamo wangu, Laizer bado ni producer mzuri sana, wasanii wenyewe ndiyo wanapaswa kubadilika kuendana na nyakati. Producer huandaa mdundo kutokana na idea [melody ya wimbo] aliyoletewa so kama melody na style za mziki ni zilezile usitegemee mabadiliko yoyote kwa producer maana treni siku zote haipingani na reli!!! mimi ni producer natambua nnachochangia. Wao ndiyo wenye jukumu la kumbadilisha Laizer.
 
Kitendo cha wewe kumuandika Kiba hapa jukwaani kinadhihirisha kwamba unamkubali, Kiba anafanya mziki tangu single yake ya Cinderela naamini hata Diamond aliwahi kuimba single hii akiwa mtaani, kwa mantiki hiyo Kiba ni moja ya wasanii waliomu-inspire Diamond kufanya mziki.

Diamond sasa ni msanii mkubwa na maarufu zaidi kushinda Kiba naweza kusema hivyo, lakini hata usome vipi hata uwe na madaraka kiasi gani bado utapaswa kumheshimu mwalimu wako aliyekufundisha chekechea.
Hakuna namna mtu mwenye akili timamu lazima aheshimu alikotokea na Diamond anajua hilo.
 
Umenena Ukweli
huo ndio ukweli halisi!!
Kiba anatembelea kick kwa Diamond
kwanza kiba hana Busara,Hana nidhamu
hajui kujieleza,Malengo Zero
Nimtu asiye kwenda na wakati
Majivuno nizaidi ya Mwanamke!!
Kiukweli hata Mungu anaona wapi ampaishe mtu
laiti kama kiba angelikuwa na Mafanikio kama ya Diamond sijui ingelikuwaje!!

Yote na yote Diamond bado ni kioo cha watanzania
Watanzania gani unaowazungumzia? sheikh kishk nimemsikia akiwaponda waimba miziki iweje mtu kama huyo iwe kioo chake ni msanii?
 
Ivi mimi ndio uzee unanikaribia au nawehuka?uyu mtoto Kiba si ndio ambae kaimba Cinderella?tunaposema anamtegemea Diamond tuna maana ipi hasa ni kipi anakifanya sasa ivi au anakipata hakuwahi kukifanya mwanzoni naamini Kiba alikuwepo hapo kitambo sana tena ni kati ya watoto wazembe sana maana anatumia nguvu ndogo sana kujitangaza mpaka hapo alipo ila angekua na juhudi angekua bora zaidi ya hapo na kwa nyimbo anazofanya ni aibu kusema zinategemea agombane na mtu ili zisogee mbona toka zamani watu wanasikiliza ngoma zake ivi aligombana na nani mpaka tukaisikiliza nakshi nakshi au single boy ni upuuzi kuamini wimbo wake wa Aje umefika hapo kisa beef na fulani huko nje ambako wameukubali nako ni wapuuzi kama sisi pia,simply Kiba ana fan base yake kubwa anayo toka kitambo kabla ya Diamond kama kuna mtu anamsikiliza Kiba kisa hampendi Nassibu basi hana akili maana muziki ni burudani ya nafsi na kwa nini waende kwa Kiba sio Timbulo au Barnaba.
Diamond ni kati ya vijana ambao ni talented sana yeye sio mfanyabiashara tu ila amejifanya kua biashara iko wazi kabisa ana mashabiki wake wengi sana kwa sababu zao ni upuuzi aibuke shabiki wa Kiba akatae nguvu ya Diamond kwa muziki wake lazima tukubali haiwezekani awepo msanii mmoja popote pale na hakuna wa kuzui ushindani kwenye muziki hii hali ipo toka enzi hizo,bado natamani mtu ambae hana timu akiwa na akili timamu aniambie kwa nini uwepo wa Kiba unamtegemea Diamond na huo utegemezi umeanza lini.
Hongera sana mkuu japo nimepata huku muda umeenda
 
Nimekuelewa saana mkuu
 
Mwenye kuhitaji..dawa ya presha ..ini kisukari..hepetis b na a..ugumba uzazi..nyota mvuto...biashara..nguvu za kiume .....kukuza na kurefusha uume..kuongEza hips na makalio..uti sugu...mpigie dr kanyat 0744903557 tanga.
 
Dawa ni za mitishamba hata ndere za mvuto wa biashara na wanawake ndoa zipo..mpigie dr 0744903557 tanga handeni
 
Kiba ni Mwimbaji kumbe? hvi msaniii anaetumia AUTOTUNE karibia nyimbo zote huyo nae mnamwita MUIMBAJI..

Mi nadhani Alikiba Ni muandishi mzuri wa Nyimbo na Mashairi ila Katka swala la Kuimba Sijawahi waza kama Kiba ni muimbaji...

Ebu sikiliza Kisauti cha Alikiba kinavyoptishwa kwenye mitambo mpaka kinatoa wimbo ni hamjui tu Ma producer wanapata kazi gani..

Tafuta producer akwambie Muimbaji kat ya Kiba Na Diamond ni nani...

Kiba aimbe bila Instrumental na Diamond aimbe bila instrumental Uone kama uTamsikiliza huyo ALIKIBA...

Sauti inapkwa mwanzo mwisho na Vi yoooooooo vingiiiiiiii....

UJE UMFANANISHE DIAMOND na KIBA haya ni Matusi...

Diamond ANAIMBA
Diamond Anatunga
Diamond Mbunifu
Diamond Mfanyabiashara

Alikiba Mwandikaji
Kuimba anaimba ila sio kwa level za Diamond...

kisaut mpk kipakwe carolight ndo ukielewe...

Nenda Live show ya Diamond na Live show ya Kiba utajua naongelea nini kuhusu.Sauti.

Tumwache DIAMOND kila kitu kina muda wake..lazima tukubali huu ndo muda wake..utapita atakuja mwingine...saivi tutulie tu.
Daaah we mshikaji bhana
 
Maneno kuntu toka kwa kiba "Mimi sishindani na mtu,Ila mziki wangu ndio watu wanaushindanisha na kazi za wasanii wengine"!
 
Umenena Ukweli
huo ndio ukweli halisi!!
Kiba anatembelea kick kwa Diamond
kwanza kiba hana Busara,Hana nidhamu
hajui kujieleza,Malengo Zero
Nimtu asiye kwenda na wakati
Majivuno nizaidi ya Mwanamke!!
Kiukweli hata Mungu anaona wapi ampaishe mtu
laiti kama kiba angelikuwa na Mafanikio kama ya Diamond sijui ingelikuwaje!!

Yote na yote Diamond bado ni kioo cha watanzania
Ila anajua kuimba
 
Back
Top Bottom