Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
tatizo watu huwa wanafata mkumbo mtu kanunua bajaji mwingine anaiga anahisi yule anapata faida sana bila kujua changamoto za hiyo biashara,wengi naona vibajaji,gari wamepaki juu ya mawe vijana wamevikokolochoa wameenda tafuta mkataba kwingine waka fanye yao tena.
Ukitaka faida fanya na ww au weka tracker kwenye usafir wako inasoma rout zote na kijana unamlipa kulinganana na matumizi.. Ukishndwa jua ni uzembe wako kua makin na biashara yako
Ukitaka faida fanya na ww au weka tracker kwenye usafir wako inasoma rout zote na kijana unamlipa kulinganana na matumizi.. Ukishndwa jua ni uzembe wako kua makin na biashara yako
wapo waliofanikiwa.. ila ni wenye bahati za kuzaliwa
Biashara ni pata potea
Gari nimempa kijana afanye UBER mwez sasa naon kijana analeta hesabu kwa wakati akiendelea HV baada ya miezi 9 nanua ingine... e MUNGU NISAIDIE
tatizo watu huwa wanafata mkumbo mtu kanunua bajaji mwingine anaiga anahisi yule anapata faida sana bila kujua changamoto za hiyo biashara,wengi naona vibajaji,gari wamepaki juu ya mawe vijana wamevikokolochoa wameenda tafuta mkataba kwingine waka fanye yao tena.
Kwa upande wa Bodaboda na Bajaji kama huna muda wa kusimamia mwenyewe kwa karibu, njia nzuri ni kuingia mkataba baada ya muda fulani inakuwa ya kwake, hapo kijana anapiga kazi na hesabu halazi. Lakini ukimpa kwa ajili ya kuleta hesabu, ataikongoroa ndani ya miezi mitatu anakurudishia na kwenda sehemu nyingine kufanya hayo hayo. Binafsi nimefanya hivyo, mpaka sasa nina Boda 4 na bajaji moja, nilianza na Bajaji moja,Wanabodi, Heshima kwenu
Nimefuatilia kwa ndugu, jamaa na marafiki wengi waliochukua mikopo na kununua bajaji, Bodaboda au ggari za kufanya uber na kugundua wengi hawakupata faida walioitarajia.
Na ukweli wa mambo ni kwamba biashara hizo ukiazisha na ukafanya mwenyewe meaning dereva ukawa wewe mwenyewe faida ni kubwa sana. Tatizo linakuja pale unapoajiri mtu. Vijana wa kitanzania hawa tabia wala utamaduni wakuheshimu kazi wala makubaliano wala mikataba badala yake karibu wote ni wajanja wajanja na wapigaji.
Please share you experience or opinio
Bodaboda wape vijana issue ya mkataba.Wanabodi, Heshima kwenu
Nimefuatilia kwa ndugu, jamaa na marafiki wengi waliochukua mikopo na kununua bajaji, Bodaboda au ggari za kufanya uber na kugundua wengi hawakupata faida walioitarajia.
Na ukweli wa mambo ni kwamba biashara hizo ukiazisha na ukafanya mwenyewe meaning dereva ukawa wewe mwenyewe faida ni kubwa sana. Tatizo linakuja pale unapoajiri mtu. Vijana wa kitanzania hawa tabia wala utamaduni wakuheshimu kazi wala makubaliano wala mikataba badala yake karibu wote ni wajanja wajanja na wapigaji.
Please share you experience or opinio
Kama hesabu yako imetimia, nongwa ya nini? Wacha mwenzio apumzike.Mkuu Nikweli kabisa VIJANA WA KITANZANIA HAWANA UTAMADUNI WA KUHESHIMU KAZI
Nimefungua Office nikamuweka dogo apige kazi ... Mwisho wa siku nikazungukia offisin nikakuta dogo kafunga ... Nikampigia simu Vipi mbona leo hujafungua shida nini ? ... "akanijibu WE SHIDA YAKO NINI ?.. HESABU YAKO YA WIKI ISHATIMIA !!
Aisee nilochoka ... Nikawa najiuliza hivi huyu dogo zinamtosha kweli ... Kwahiyo yeye Hana shida na hela ndo maana kafunga !! Dah Nikafikiria PLAN B ... Niongeze HESABU ya Wiki ...
Mkuu Nikweli kabisa VIJANA WA KITANZANIA HAWANA UTAMADUNI WA KUHESHIMU KAZI
Nimefungua Office nikamuweka dogo apige kazi ... Mwisho wa siku nikazungukia offisin nikakuta dogo kafunga ... Nikampigia simu Vipi mbona leo hujafungua shida nini ? ... "akanijibu WE SHIDA YAKO NINI ?.. HESABU YAKO YA WIKI ISHATIMIA !!
Aisee nilochoka ... Nikawa najiuliza hivi huyu dogo zinamtosha kweli ... Kwahiyo yeye Hana shida na hela ndo maana kafunga !! Dah Nikafikiria PLAN B ... Niongeze HESABU ya Wiki ...
Kwa upande wa Bodaboda na Bajaji kama huna muda wa kusimamia mwenyewe kwa karibu, njia nzuri ni kuingia mkataba baada ya muda fulani inakuwa ya kwake, hapo kijana anapiga kazi na hesabu halazi. Lakini ukimpa kwa ajili ya kuleta hesabu, ataikongoroa ndani ya miezi mitatu anakurudishia na kwenda sehemu nyingine kufanya hayo hayo. Binafsi nimefanya hivyo, mpaka sasa nina Boda 4 na bajaji moja, nilianza na Bajaji moja,
Ni kweli, baadhi ya vijana wa Kitanzania bado hawana uchungu na maisha, unajinyima unananua kitu, unamkabidhi lakini unakuta kuna siku anaamua tu kutofanya kazi au akipata pesa, anaamua kutumia kwanza ziishe ndo afanye kazi au akikamilisha hesabu ya Bosi na ya kwake kidogo saa 10 jioni anaingia bar, anatoka saa 6 usiku amelewa chakari na kupata ajali mbaya sana.Uko sahihi hii ndio business model inayo onekana kufaa katika hizi kazi za kuajiri vijana