Wengi walionunua bajaji, bodaboda na uber hawakupata faida tarajiwa

Wengi walionunua bajaji, bodaboda na uber hawakupata faida tarajiwa

Mkuu Nikweli kabisa VIJANA WA KITANZANIA HAWANA UTAMADUNI WA KUHESHIMU KAZI

Nimefungua Office nikamuweka dogo apige kazi ... Mwisho wa siku nikazungukia offisin nikakuta dogo kafunga ... Nikampigia simu Vipi mbona leo hujafungua shida nini ? ... "akanijibu WE SHIDA YAKO NINI ?.. HESABU YAKO YA WIKI ISHATIMIA !!

Aisee nilochoka ... Nikawa najiuliza hivi huyu dogo zinamtosha kweli ... Kwahiyo yeye Hana shida na hela ndo maana kafunga !! Dah Nikafikiria PLAN B ... Niongeze HESABU ya Wiki ...

Mkuu “eti shida yako nn” aki siku hiyo hiyo akatafute kazi nyingine
 
Mkuu “eti shida yako nn” aki siku hiyo hiyo akatafute kazi nyingine

Alijibu vema, chukua hesabu kisha songa mbali huko..... kwani akipumzika wewe unateseka...!!
 
Ni kweli watanzania tuna tatizo kubwa sana la kuiga na kufuata mkumbo. Mtu akifungua saloon basi utaona wengine nao fasta wafungua saloon mtaa huo huo. Hatuna creativity ya kuanzisha new fresh business ventures
New fresh Business kama zepi??
 
Back
Top Bottom