Mkuu Nikweli kabisa VIJANA WA KITANZANIA HAWANA UTAMADUNI WA KUHESHIMU KAZI
Nimefungua Office nikamuweka dogo apige kazi ... Mwisho wa siku nikazungukia offisin nikakuta dogo kafunga ... Nikampigia simu Vipi mbona leo hujafungua shida nini ? ... "akanijibu WE SHIDA YAKO NINI ?.. HESABU YAKO YA WIKI ISHATIMIA !!
Aisee nilochoka ... Nikawa najiuliza hivi huyu dogo zinamtosha kweli ... Kwahiyo yeye Hana shida na hela ndo maana kafunga !! Dah Nikafikiria PLAN B ... Niongeze HESABU ya Wiki ...