Wengi wanahoji, kwanini Iran hapigi ndani ya Marekani, Bali anapiga nchi jirani yake?

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Swali hilo limekua likulizwa na baadhi ya watu,hususan pro Marekani.
Kwamba Iran ni dhaifu,kama sio dhaifu kwa Nini haipigi ndani ya Marekani moja kwa moja kama vile Marekani Inavyopiga ndani ya Iran moja kwa moja.?

Kwamba kama Marekani anaipiga Iran,kwa nini Iran isiipige Marekani nchini kwake moja kwa moja? badala yake Iran inazipiga nchi zisizohusika?

Nchi zisizohusika wakimaanisha,Saud Arabia, Bahrain, Quarta, Kuwait, Jordan na nyinginezo.

Nitawaeleza wanaouliza swali hilo kwa lugha nyepesi kabisa ijapokua Mimi sio mtaalamu wa masuala ya kijeshi.

Iko hivi.
Iran inapiga kwenye Kambi za kijeshi za Marekani zilizipo katika nchi za Ghuba,au Mashariki ya kati.

Iran inapiga kwenye Kambi hizo kwa sababu Marekani wameweka vikosi vyao vya wanajeshi pamoja na silaha na vifaa vingine vya kivita kama vile rada,vifaa vya mawasiliano,mizinga,vifaru,ndegevita,melivita na zana nyingine za kijeshi.

Marekani Ina Kambi nyingi sana hapo Ghuba. Kambi hizo za Marekani sio makambi ya wakimbizi,bali ni makambi maalumu kabisa kwa ajili ya vita.

Hivyo mara baada ya Marekani na Israel kuanzisha mashambulizi dhidi ya Iran,katika Hali ya kawaida Iran nayo Ikawa na haki ya kujilnda.

Katika Hali ya kawaida hata kama ningekua Mimi nisingeweza kuanza kushambulia Marekani moja kwa moja hata kama uwezo wa kufanya hivyo ningekua nao, Kwa sababu makambi hayo ya Marekani yangetumika kuiangamiza Iran kabla hata ya silaha kutoka Marekani moja kwa moja kufika.

Na kiuhalisia makambi hayo yaliwekwa kwa kazi hiyo,yaani kuanza kumuangamiza adui wa Marekani kwa haraka na ukaribu mkubwa akiwa bado Yuko huko huko kwake.

Ikumbukwe kwamba makambi hayo Yana Kila aina ya silaha na wataalamu kama walioko Marekani,hivyo yanaweza kumaliza mchezo bila hata Silaha yoyote kutoka Marekani kwenyewe.

Mfano wa makambi hayo Kuna Kambi ya Jeshi la Ardhini,Jeshi la Anga,na Jeshi la Maji(Jeshi la Majini).

Kuna vituo vya rada,mawasiliano,na makambi yenye zana za kutungua makombora n.k.

Sasa kwa nini Iran ikimbilie kurusha ndege au kombora au silaha yoyote kwanda kupiga Marekani kwenyewe na kuyaacha makambi haya ambayo kwa uhakika kabisa yanaweza kushambulia na kutoa msaada kwa majeshi ya Marekani yanayoishambulia Iran?

Kwa uadilifu mkubwa Iran imekua ikilenga TU kwenye Kambi za Marekani katika nchi ambazo Marekani imeweka Kambi zake.

Na ikumbukwe kwamba,pengine watu wengi wanadhani,kwa Marekani kua na Kambi katika nchi hizo,maana yake nchi hizo hazina majishi yake,hapana,Kila nchi ambayo Marekani ana Kambi yake ,na nchi yenyewe Ina majeshi yake,na Yako mbalimbali,iran anachofanya ni kwamba anapiga kwenye Kambi za Marekani TU, sio kwenye majeshi au makambi ya nchi mwenyeji.

Ikumbukwe kwamba Kambi ya Jeshi la Marekani ni sehemu ya Marekani kimkataba,Ina hdhi kama ni nchi ya Marekani,ni kama vile ubalozi.

Ubalozi wa Marekani ni sehemu ya Marekani kidiplomasia,ni kama Marekani TU.
Leo hii Mtanzania akikimbilia ubalozi wa Sweden mfano polisi hawawezi kwenda ndani ya ubalozi huo na kumkamata bila utaratibu.

Kwa hiyo Iran yeye anapiga wanajeshi au vifaa vya Jeshi la Marekani vilivyopo katika nchi jirani yake,ambavyo of course lengo lake navyo lilikua ni kukabiliana mapema na adui wa Marekani.

Sasa kwa akili ya kawaida utaviachaje vituo kama hivyo?
Tuliona mwanzo kabisa wa vita hivi awamu Ile mwaka ule,jinsi baadhi ya drone na makombora ya Iran yalivyokua yakiangushwa na silaha za Marekani kutoka nchi nyingine kama Jordan na Soud Arabia.

Hivyo ili kua na ufanisi na mashambulizi yake na kua salama,Iran inalazimika kabisa kuyashambulia makambi ya Marekani yaliyo jirani yake.

Bila kuyateketeza makambi hayo Iran Leo hii tungeongea mengine.
Kwa mfano rada kubwa Zaid ya Marekani ambayo ilikua Ina uwezo wa kuona Hadi Urusi ndani kabisa Siberia iliteketezwa, mitambo Bora kabisa ya mawasiliano iliteketezwa, Kambi ya kukarabati melivita za Marekani iliteketezwa, mitambo ya kurushia makombora na kudumgua makombora huko Jordan imesambaratishwa, vikosi vya ndege na viwanja vya ndege vimepigwa,majengo ya CIA yamepigwa, vyote hivi vilikua katika nchi tofauti,je rada isingeqeweza kuona ndani ya Iran na kuwezeaha Jeshi la Marekani kupiga sehemu za Siri zaidi za Iran?

Kama Kuna mwingine anaeweza kuelezea vizuri nitamshukuru.
 
Hata hivyo katika Hali ya kawaida ,ukiona adui Yako wa mbali amekua na harakati na urafiki na majirani zako ujue hao majirani zako nao watakua na uadui na wewe kwa kificho.
Ili kuwalazimisha waache urafiki wa mashaka na adui Yako kama una uwezo wa kuwanyoosha,wanyooshe,maana hamna namna.
Hebu fikiria hofu anayokuaga nayo Marekani Kwa Cuba,kwa sababu TU Cuba ni rafiki wa Urusi na china.
 
Hata hivyo katika Hali ya kawaida ,ukiona adui Yako wa mbali amekua na harakati na uruafiki na majirani zako ujue hao majirani zako nao ni watakua na uadui na wewe kwa kificho.
Ili kuwalazimisha waache urafiki wa mashaka na adui Yako kama una uwezo wa kuwanyoosha,wanyooshwe,maana hamna namna.
Hebu fikiria hofu anayokuaga nayo Marekani Kwa Cuba,kwa sababu TU Cuba ni rafiki wa Urusi na china.
Iran bado hajawa na silaha ya kufika Washington moja moja angekua ameshashambulia, lakini pia kugusa marekani moja kwa moja itasababisha all out war, marekani hatoshambulia Tena kimkakati bali wataiangamiza kabisa Iran kwa silaha Kali za nyuklia
 
Hii nayo Wairan wamepita nayo​

Iran's IRGC claims attack on Amazon's main data hub in Bahrain​

By Babak Kamiar
Published on 21/07/2026 - 12:06
Add Euronews on Google

The IRGC claimed its cruise missiles destroyed Amazon's central data infrastructure in Bahrain and hit US air defence systems. Bahraini, US and Amazon officials have not responded.​

Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) has claimed on Tuesday that its Aerospace Force targeted and "destroyed" the central data infrastructure of the US company Amazon in Bahrain using several cruise missiles.
 
Iran's IRGC claims attack on Amazon's main data hub in Bahrain​

Copyright AP Photo
By Babak Kamiar
Published on 21/07/2026 - 12:06 GMT+2
Add Euronews on Google

The IRGC claimed its cruise missiles destroyed Amazon's central data infrastructure in Bahrain and hit US air defence systems. Bahraini, US and Amazon officials have not responded.​

Iran's Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) has claimed on Tuesday that its Aerospace Force targeted and "destroyed" the central data infrastructure of the US company Amazon in Bahrain using several cruise missiles.
Ballistic missiles zao bado haziwez kupenya Washington zinaishia huko kwa majirani zake, na kama wakifanikiwa kugusa ardhi ya marekani basi Yale ya Yeroshima na Nagasaki yatajirudia
 
Iran bado hajawa na silaha ya kufika Washington moja moja angekua ameshashambulia, lakini pia kugusa marekani moja kwa moja itasababisha all out war, marekani hatoshambulia Tena kimkakati bali wataiangamiza kabisa Iran kwa silaha Kali za nyuklia
Ni sawa kabisa.Lkn hata kama angekua na silaha za kufika USA nadhani angeanza kwanza kusamabratisha makambi hayo.
 
Uko sahihi mkuu , sababu kuacha Kambi za kijeshi za marekani mlangoni pake , ni hatari na inaweza kua rahisi kwa marekani ku deploy ground platoons na kuanzisha vita ya ardhini, hivyo kuwashambuli washirika wa marekani kuna tija kubwa sana
 
Ballistic missiles zao bado haziwez kupenya Washington zinaishia huko kwa majirani zake, na kama wakifanikiwa kugusa ardhi ya marekani basi Yale ya Yeroshima na Nagasaki yatajirudia
Ni kweli kabisa ,na ndio maana ya vita,kwa sababu vita ni piga nikupige.lln USA aliamua kutumia atomic mara baada ya kufanyiaa kitu mbaya ya wajapan.
Na siku Iran akiwa na uwezo wa kutengeneza ICBM basi hata yeye atawwza kupeleka vita Marekani.
 
Uko sahihi mkuu , sababu kuacha Kambi za kijeshi za marekani mlangoni pake , ni hstari ns inaweza kua rahisi kwa marekani ku deploy ground platoons na kuanzisha vita ya ardhini, hivyo kuwashambuli washirika marekani kuna tija kubwa sana
Ni kweli Mkuu kwa sababu lengo la makambi hayo ni kumshambulia adui wa Marekani mapema kabla hajafika Marekani.
Ila naomba nikusahihishe kidogo kama hutajali kua,Iran hawashambulii washirika wa Marekani,Bali anashambulia moja kwa moja kwenye vituo vya kijeshi vya wamarekani vilivyoko kwenye nchi washirika wa Marekani.
 
Uko sahihi
 
Marekani anamshambulia Irani kutoka kutoka kwenye kambi hizo. Marekani harushi kombora toka Capitol au Washington.
Iran anajua, akipiga bases hizo Marekani lazima ajipange tena kumkabiri.

Marekani akitaka kukupiga anasogea kwenye base zake zilizo karibu na wewe.
 
Sahihi kabisa.
 
Iran says missile and drone strikes targeted US military facilities in Kuwait, Bahrain​

IRGC says attacks targeted Patriot air defense system and radar and communications facilities as military campaign expands across Gulf
Tarek Chouiref
21 July 2026•Update: 21 July 2026

Archive
Content media

İSTANBUL
Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) said early Tuesday that it targeted US military sites in Kuwait and Bahrain with missile and drone strikes, including a Patriot air defense system, radar installations and communications facilities, as Iran widened its military campaign across the Gulf.

The IRGC said a missile and drone attack targeted Ali Al Salem Air Base in Kuwait, striking an MQ-9 drone hangar and destroying or severely damaging several drones.

It said the attack also destroyed a long-range radar site, a communications center, satellite-receiving systems and a US missile defense radar.

In a separate statement, the IRGC said it destroyed a US radar facility and a Patriot air defense system in Bahrain.

The attacks were carried out as part of the second phase of the 24th wave of Operation Nasr 2, the IRGC said, adding its operations were continuing.

The US has escalated attacks against Iran in recent days, with Iran retaliating with strikes targeting facilities and bases it says are used by the US military in several regional countries.

The exchange of fire between the US and Iran comes despite a Pakistan-brokered memorandum of understanding they signed in June to end their war and reach a lasting peace agreement.
 
Swali hilo limekua likulizwa na baadhi ya watu,hususan pro Marekani.
Kwamba Iran ni dhaifu,kama sio dhaifu kwa Nini haipigi ndani ya Marekani moja kwa moja kama vile Marekani Inavyopiga ndani ya Iran moja kwa moja.?
Kwamba kama Marekani anaipiga Iran,kwa nini Iran isiipige Marekani nchini kwake moja kwa moja?badala yake Iran inazipiga nchi zisizohusika?
Nchi zisizohusika wakimaanisha,Saud Arabia,Bahrain,Quarta,Kuwait,Jordan na nyinginezo.

Nitawaeleza wanaouliza swali hilo kwa lugha nyepesi kabisa ijapokua Mimi sio mtaalamu wa masuala ya kijeshi.

Iko hivi.
Iran inapiga kwenye Kambi za kijeshi za Marekani zilizipo katika nchi za Ghuba,au Mashariki ya kati.
Iran inapiga kwenye Kambi hizo kwa sababu Marekani wameweka vikosi vyao vya wanajeshi pamoja na silaha na vifaa vingine vya kivita kama vile rada,vifaa vya mawasiliano,mizinga,vifaru,ndegevita,melivita na zana nyingine za kijeshi.
Marekani Ina Kambi nyingi sana hapo Ghuba.
Kambi hizo za Marekani sio makambi ya wakimbizi,bali ni makambi maalumu kabisa kwa ajili ya vita.
Hivyo mara baada ya Marekani na Israel kuanzisha mashambulizi dhidi ya Iran,katika Hali ya kawaida Iran nayo Ikawa na haki ya kujilnda.
Katika Hali ya kawaida hata kama ningekua Mimi nisingeweza kuanza kushambulia Marekani moja kwa moja hata kama uwezo wa kufanya hivyo ningekua nao, Kwa sababu makambi hayo ya Marekani yangetumika kuiangamiza Iran kabla hata ya silaha kutoka Marekani moja kwa moja kufika.
Na kiuhalisia makambi hayo yaliwekwa kwa kazi hiyo,yaani kuanza kumuangamiza adui wa Marekani kwa haraka na ukaribu mkubwa akiwa bado Yuko huko huko kwake.
Ikumbukwe kwamba makambi hayo Yana Kila aina ya silaha na wataalamu kama walioko Marekani,hivyo yanaweza kumaliza mchezo bila hata Silaha yoyote kutoka Marekani kwenyewe.
Mfano wa makambi hayo Kuna Kambi ya Jeshi la Ardhini,Jeshi la Anga,na Jeshi la Maji(Jeshi la Majini).
Kuna vituo vya rada,mawasiliano,na makambi yenye zana za kutungua makombora n.k.
Sasa kwa nini Iran ikimbilie kurusha ndege au kombora au silaha yoyote kwanda kupiga Marekani kwenyewe na kuyaacha makambi haya ambayo kwa uhakika kabisa yanaweza kushambulia na kutoa msaada kwa majeshi ya Marekani yanayoishambulia Iran?
Kwa uadilifu mkubwa Iran imekua ikilenga TU kwenye Kambi za Marekani katika nchi ambazo Marekani imeweka Kambi zake.
Na ikumbukwe kwamba,pengine watu wengi wanadhani,kwa Marekani kua na Kambi katika nchi hizo,maana yake nchi hizo hazina majishi yake,hapana,Kila nchi ambayo Marekani ana Kambi yake ,na nchi yenyewe Ina majeshi yake,na Yako mbalimbali,iran anachofanya ni kwamba anapiga kwenye Kambi za Marekani TU,sio kwenye majeshi au makambi ya nchi mwenyeji.

Ikumbukwe kwamba Kambi ya Jeshi la Marekani ni sehemu ya Marekani kimkataba,Ina hdhi kama ni nchi ya Marekani,ni kama vile ubalozi.
Ubalozi wa Marekani ni sehemu ya Marekani kidiplomasia,ni kama Marekani TU.
Leo hii Mtanzania akikimbilia ubalozi wa Sweden mfano polisi hawawezi kwenda ndani ya ubalozi huo na kumkamata bila utaratibu.
Kwa hiyo Iran yeye anapiga wanajeshi au vifaa vya Jeshi la Marekani vilivyopo katika nchi jirani yake,ambavyo of course lengo lake navyo lilikua ni kukabiliana mapema na adui wa Marekani.
Sasa kwa akili ya kawaida utaviachaje vituo kama hivyo?
Tuliona mwanzo kabisa wa vita hivi awamu Ile mwaka ule,jinsi baadhi ya drone na makombora ya Iran yalivyokua yakiangushwa na silaha za Marekani kutoka nchi nyingine kama Jordan na Soud Arabia.
Hivyo ili kua na ufanisi na mashambulizi yake na kua salama,Iran inalazimika kabisa kuyashambulia makambi ya Marekani yaliyo jirani yake.
Bila kuyateketeza makambi hayo Iran Leo hii tungeongea mengine.
Kwa mfano rada kubwa Zaid ya Marekani ambayo ilikua Ina uwezo wa kuona Hadi Urusi ndani kabisa Siberia iliteketezwa,mitambo Bora kabisa ya mawasiliano iliteketezwa,Kambi ya kukarabati melivita za Marekani iliteketezwa,mitambo ya kurushiaakomborw na kudumgua makombora huko Jordan imesambaratishwa,vikosi vya ndege na viwanja vya ndege vimepigwa,majengo ya CIA yamepigwa, vyote hivi vilikua katika nchi tofauti,je rada isingeqeweza kuona ndani ya Iran na kuwezeaha Jeshi la Marekani kupiga sehemu za Siri zaidi za Iran?

Kama Kuna mwingine anaeweza kuelezea vizuri nitamshukuru.
Sababu ni ndogo tu, Iran to USA ni 10000KM, Unahitaji tekinolojia kubwa ya, ICBM(intercontinental ballistic missile), kufika huo umbali, Iran anazo, ICBM za kilometer 2000 tu, tekinolojia ya long-range ICBM, bado Hana,
 
For the “boom boom Tel Aviv” idiots:

The biggest mistake people make when looking at war is assuming the objective is to hit the enemy’s capital as quickly as possible. That’s political theater, not military strategy.

If you look at the strike map, Iran isn’t behaving like a country trying to maximize headlines but like a military attempting to shape the battlespace.

The targets are not random or insignificant. Iran is dismantling the entire American military ecosystem in the region:

Early warning radar sites.
Air defense systems.
Aviation facilities and hangars.
Logistics hubs.
Fuel and ammunition storage.
Forward operating bases.
CENTCOM support infrastructure.
Bases supporting operations in Syria and Iraq.
Naval and maritime surveillance assets.
Intelligence collection and communications nodes.

Look at jordan as an example. Most people couldn’t point to Tower 22 or Muwaffaq Salti Air Base on a map, yet they’re arguably more important militarily than firing a few missiles at downtown Tel Aviv.

Tower 22 supports operations at Al-Tanf. Muwaffaq Salti hosts American aircraft and coalition operations.
Erbil supports intelligence and special operations.
Bahrain hosts the U.S. Navy’s Fifth Fleet headquarters.
Kuwait is a massive logistics and staging area.
Qatar hosts the forward headquarters of CENTCOM and the largest U.S. air base in the Middle East.
These are the eyes, ears, and connective tissue of American power projection in the region.

From a military perspective, you don’t begin by punching the strongest part of your opponent. You isolate him.

There are several principles of warfare being applied here:

1. Suppression of enemy support infrastructure.
2. Degradation of intelligence, surveillance, and reconnaissance capabilities.
3. Attrition of air defense and interceptor inventories.
4. Disruption of logistics and sustainment.
5. Political pressure on host nations.
6. Shaping the operational environment before attempting anything larger.

The United States does not fight Middle Eastern wars from Washington or even from aircraft carriers alone. It fights them from an interconnected network of bases stretching from Jordan to Qatar to Kuwait to Bahrain. If that network becomes degraded, every sortie, every intelligence feed, every resupply mission, and every interceptor launch becomes more difficult and more expensive.

People screaming “just bomb Tel Aviv” fundamentally misunderstand what modern warfare looks like. Destroying a radar site that enables coalition air operations can be militarily more valuable than causing superficial damage to a symbolic target.

There’s another aspect people are missing: INTERCEPTOR ECONOMICS.

Every Patriot interceptor fired costs millions of dollars. Air defense inventories are finite. Sustained operational tempo places enormous strain on maintenance crews, missile stockpiles, and logistics chains. If an adversary can force you to defend a dozen locations simultaneously, you’ve already begun winning the resource allocation battle.

Historically, successful military campaigns begin with degrading command-and-control, communications, air defenses, and logistics before moving to decisive operations.

Whether one agrees with Iran politically is irrelevant to the military analysis. What we’re witnessing is not random retaliation, it is a deliberate campaign aimed at systematically degrading the regional architecture that allows the United States and its allies to project military power across the Middle East.

Wars are won by destroying capabilities, not by chasing viral videos of missiles landing in capital cities and gay techno songs. The boring targets on a map are often the most important ones

DD Geopolitics
 
Iran bado hajawa na silaha ya kufika Washington moja moja angekua ameshashambulia, lakini pia kugusa marekani moja kwa moja itasababisha all out war, marekani hatoshambulia Tena kimkakati bali wataiangamiza kabisa Iran kwa silaha Kali za nyuklia
Lakini ubalozi huwa upo designated kama ardhu ya nchi husika kwahiyo technically ukishambulia balozi umeshambulia ardhi ya US!!

Point labda ni umbali tu ila sio kwamba wanaogopa. Na kuhusu nuclear hilo haliwezekani maana madhara ya hilo bomu hapo middle east hata hiyo Israel yenyewe ingejaa kansa tupu. Na bahari wala mafuta yasingetumika tena so haiwezekani hiyo option labda uvamizi wa majeshi ya miguuni tu kitu ambacho USA hataki maana itachukua miaka n vifo vingi kama Iraq au Afghanistan
 
Kambi za kijeshi za Marekani zilizipo duniani.

The United States maintains over 750 military installations across more than 80 countries and territories. This global network includes large operational bases, naval ports, and smaller logistical outposts. To explore base locations worldwide, search or filter specific sites globally using the DoD MilitaryINSTALLATIONS directory. [1, 2]
While the heaviest concentrations of U.S. troops and permanent bases are in allied nations—serving as the backbone of strategic deterrence—the U.S. presence extends to nearly every continent: [1, 2]
    • East Asia & Pacific: Japan (hosting the highest number of overseas bases including Kadena Air Base and Yokosuka Naval Base), South Korea (home to Camp Humphreys, the largest U.S. overseas base), Australia, and the Philippines. [1, 2, 3, 4, 5]
    • Europe: Germany (largest footprint in Europe, including Ramstein Air Base), Italy (Naval Air Station Sigonella), Spain (Naval Station Rota), and the United Kingdom. [1, 2, 3, 4]
    • Middle East: Qatar (Al Udeid Air Base), Bahrain (Naval Support Activity, headquarters of the U.S. 5th Fleet), Kuwait, and the United Arab Emirates. [1]
    • Africa & Indian Ocean: Djibouti (Camp Lemonnier, the primary U.S. hub in the Horn of Africa), as well as strategic sites in the British Indian Ocean Territory (Diego Garcia). [1]
    • The Americas: Guantanamo Bay in Cuba and a small number of installations in U.S. territories.
 
Swali hilo limekua likulizwa na baadhi ya watu,hususan pro Marekani.
Kwamba Iran ni dhaifu,kama sio dhaifu kwa Nini haipigi ndani ya Marekani moja kwa moja kama vile Marekani Inavyopiga ndani ya Iran moja kwa moja.?
Kwamba kama Marekani anaipiga Iran,kwa nini Iran isiipige Marekani nchini kwake moja kwa moja?badala yake Iran inazipiga nchi zisizohusika?
Nchi zisizohusika wakimaanisha,Saud Arabia,Bahrain,Quarta,Kuwait,Jordan na nyinginezo.

Nitawaeleza wanaouliza swali hilo kwa lugha nyepesi kabisa ijapokua Mimi sio mtaalamu wa masuala ya kijeshi.

Iko hivi.
Iran inapiga kwenye Kambi za kijeshi za Marekani zilizipo katika nchi za Ghuba,au Mashariki ya kati.
Iran inapiga kwenye Kambi hizo kwa sababu Marekani wameweka vikosi vyao vya wanajeshi pamoja na silaha na vifaa vingine vya kivita kama vile rada,vifaa vya mawasiliano,mizinga,vifaru,ndegevita,melivita na zana nyingine za kijeshi.
Marekani Ina Kambi nyingi sana hapo Ghuba.
Kambi hizo za Marekani sio makambi ya wakimbizi,bali ni makambi maalumu kabisa kwa ajili ya vita.
Hivyo mara baada ya Marekani na Israel kuanzisha mashambulizi dhidi ya Iran,katika Hali ya kawaida Iran nayo Ikawa na haki ya kujilnda.
Katika Hali ya kawaida hata kama ningekua Mimi nisingeweza kuanza kushambulia Marekani moja kwa moja hata kama uwezo wa kufanya hivyo ningekua nao, Kwa sababu makambi hayo ya Marekani yangetumika kuiangamiza Iran kabla hata ya silaha kutoka Marekani moja kwa moja kufika.
Na kiuhalisia makambi hayo yaliwekwa kwa kazi hiyo,yaani kuanza kumuangamiza adui wa Marekani kwa haraka na ukaribu mkubwa akiwa bado Yuko huko huko kwake.
Ikumbukwe kwamba makambi hayo Yana Kila aina ya silaha na wataalamu kama walioko Marekani,hivyo yanaweza kumaliza mchezo bila hata Silaha yoyote kutoka Marekani kwenyewe.
Mfano wa makambi hayo Kuna Kambi ya Jeshi la Ardhini,Jeshi la Anga,na Jeshi la Maji(Jeshi la Majini).
Kuna vituo vya rada,mawasiliano,na makambi yenye zana za kutungua makombora n.k.
Sasa kwa nini Iran ikimbilie kurusha ndege au kombora au silaha yoyote kwanda kupiga Marekani kwenyewe na kuyaacha makambi haya ambayo kwa uhakika kabisa yanaweza kushambulia na kutoa msaada kwa majeshi ya Marekani yanayoishambulia Iran?
Kwa uadilifu mkubwa Iran imekua ikilenga TU kwenye Kambi za Marekani katika nchi ambazo Marekani imeweka Kambi zake.
Na ikumbukwe kwamba,pengine watu wengi wanadhani,kwa Marekani kua na Kambi katika nchi hizo,maana yake nchi hizo hazina majishi yake,hapana,Kila nchi ambayo Marekani ana Kambi yake ,na nchi yenyewe Ina majeshi yake,na Yako mbalimbali,iran anachofanya ni kwamba anapiga kwenye Kambi za Marekani TU,sio kwenye majeshi au makambi ya nchi mwenyeji.

Ikumbukwe kwamba Kambi ya Jeshi la Marekani ni sehemu ya Marekani kimkataba,Ina hdhi kama ni nchi ya Marekani,ni kama vile ubalozi.
Ubalozi wa Marekani ni sehemu ya Marekani kidiplomasia,ni kama Marekani TU.
Leo hii Mtanzania akikimbilia ubalozi wa Sweden mfano polisi hawawezi kwenda ndani ya ubalozi huo na kumkamata bila utaratibu.
Kwa hiyo Iran yeye anapiga wanajeshi au vifaa vya Jeshi la Marekani vilivyopo katika nchi jirani yake,ambavyo of course lengo lake navyo lilikua ni kukabiliana mapema na adui wa Marekani.
Sasa kwa akili ya kawaida utaviachaje vituo kama hivyo?
Tuliona mwanzo kabisa wa vita hivi awamu Ile mwaka ule,jinsi baadhi ya drone na makombora ya Iran yalivyokua yakiangushwa na silaha za Marekani kutoka nchi nyingine kama Jordan na Soud Arabia.
Hivyo ili kua na ufanisi na mashambulizi yake na kua salama,Iran inalazimika kabisa kuyashambulia makambi ya Marekani yaliyo jirani yake.
Bila kuyateketeza makambi hayo Iran Leo hii tungeongea mengine.
Kwa mfano rada kubwa Zaid ya Marekani ambayo ilikua Ina uwezo wa kuona Hadi Urusi ndani kabisa Siberia iliteketezwa,mitambo Bora kabisa ya mawasiliano iliteketezwa,Kambi ya kukarabati melivita za Marekani iliteketezwa,mitambo ya kurushiaakomborw na kudumgua makombora huko Jordan imesambaratishwa,vikosi vya ndege na viwanja vya ndege vimepigwa,majengo ya CIA yamepigwa, vyote hivi vilikua katika nchi tofauti,je rada isingeqeweza kuona ndani ya Iran na kuwezeaha Jeshi la Marekani kupiga sehemu za Siri zaidi za Iran?

Kama Kuna mwingine anaeweza kuelezea vizuri nitamshukuru.
Sawa umejieleza sana ila kiukw3li iran aache utoto kumpiga marekani kwa makombora ni kujidanganya level ya marekani labda unaweza kumpiga kisaikolojia ila sio makombora wanajlpoteza muda na pesa nyingi bila sababu.
 
Back
Top Bottom