Wengi wanaomshabikia Lissu hawazingatii maslahi ya Taifa

Wafuasi wa Lisu,wana imani ya mawimbi ya bahari kwamba ni kichuguu ni wabishi na hawajui kitu zaidi Lisu.
 
Masilahi yepi unayozungumzia mkuu

Kunamapatano gani kati ya kupigwa Padri Kitima na masilahi hayo

Kuna mapatano gani kati ya raia wasio na hatia kupigwa, kuuwawa, kutekwa na kuzuwiwa kwenda tu kusikiliza kesi ya Lissu?

Hayo masilahi unayoongelea wewe ni yepi hayo, ya uvccm kuwa jeshi la polisi linaloteka raia?

Hayo ndo masilahi ya Taifa?
 
Itoshe kusema tu kuwa huna akili.
 
Viongozi wa ccm wangekuwa wanazingatia maslahi ya Taifa basi nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo
 
Tofautisha maslahi ya taifa na maslahi ya kikundi cha watu wachache waliojificha kwenye mgongo wa maslahi ya taifa
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ni kweli ni kwa maslahi ya Taifa?
 
Not so gentleman unajua biashara za Lema ?Lissu je angeamua kuacha siasa na kuwa mwanasheria full time akawa na law firm yake si ungekuwa shamba boy wake.
 


Na wewe unaona umeandika kitu kwa huu upuuzi?

Low brain, fahamu kuwa hakuna maslahi ya nchi katika kudhulumu haki za watu, katika kuteka na kuua wakosoaji. Wanopigania kuondoa dhuluma zinazofanywa na watawala, hao ndiyo wazalendo wa kweli, hao ndio wanapigania maslahi ya Taifa hili la sasa na la miaka mingi mbeleni.

Wewe unatakiwa kuwa miongoni mwa watu wa mwanzo waliotakiwa kupigania mabadiliko. Wewe kukosa upeo kwa kiwango ulicho nacho, kwa kiasi kikubwa imechangiwa na mifumo duni ya nchi. Kupata elimu nzuri na maarifa, ni haki yako, lakini umenyimwa vyote, ukaishia kuwa kama ulivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…