Mleta uzi umeongea kitu cha kweli na umetonesha vidonda vya watu humu[emoji1787]
Hizi ndoa hizi? Kuna jamaa anamla mke wa rafiki yake, tena mfanyakazi mwenzake kabisa. Ila sio kosa lake, mwenye mke wamekorofishana na mke wake, sijui niseme ni utoto ama ni ujinga plus upumbavu humohumo?
Kilichotokea ni kwamba eti mwenye mke kamuambia mkewe wapeane space kwa miezi 6[emoji1787]. Kwa io mwenye mke akahama walipokuwa wanakaa akaenda kupanga kwingine.
Mke nahisi alishikwa na genye, jamaa yangu alimuona kapost status fb, akachombeza hapa na pale, kama masihara akamla siku ileilee. Basi ndo baadae jamaa anakuja hayo niliyoeleza hapo juu kwamba wamezinguana na mumewe.
Kwa io nowdays jamaa anajipigia tuu.