Wengi wao tuna-date na watu ambao wawapendao hawapo nao kwa muda huo

Tumeliwa sana ndugu zangu
Tumelaliwa sana ndugu zangu
Nchi hii ilikua shamba la bibi kila mtu alifanya tu na kuondoka.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Ile Shule Isingekwisha Ningetoa Demo
πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€
 
Moyo huwa unapenda na kukubali wenyewe, hakuna namna unaweza kuulazimisha.
 
Kwamba na ununda wako wote upo kwenye hali hio?
 
Hizo gemu za point of no return ndiyo zipoje aisee?, mbona kama katangazo haka mkuu !πŸ˜›
 
Kwa mawazo hayo hutokua na amani kwenye mahusiano ! Wewe amini mnapendena na endeleeni mbele kama mtafikia lengo la familia sawa na msipofikia basi. Acheni kujipa mawazo bure.
 
Hivi bado 2021 kuna ambao mnapenda msipotakiwa πŸ˜‚πŸ™…???
 
Mleta uzi umeongea kitu cha kweli na umetonesha vidonda vya watu humu[emoji1787]

Hizi ndoa hizi? Kuna jamaa anamla mke wa rafiki yake, tena mfanyakazi mwenzake kabisa. Ila sio kosa lake, mwenye mke wamekorofishana na mke wake, sijui niseme ni utoto ama ni ujinga plus upumbavu humohumo?

Kilichotokea ni kwamba eti mwenye mke kamuambia mkewe wapeane space kwa miezi 6[emoji1787]. Kwa io mwenye mke akahama walipokuwa wanakaa akaenda kupanga kwingine.

Mke nahisi alishikwa na genye, jamaa yangu alimuona kapost status fb, akachombeza hapa na pale, kama masihara akamla siku ileilee. Basi ndo baadae jamaa anakuja hayo niliyoeleza hapo juu kwamba wamezinguana na mumewe.

Kwa io nowdays jamaa anajipigia tuu.
 
Tumeliwa sana ndugu zangu
Tumelaliwa sana ndugu zangu
Nchi hii ilikua shamba la bibi kila mtu alifanya tu na kuondoka.
Au nasema uongo ndugu zangu
 
Sema wewe ndiyo unatomba mke wa rafiki yako mzee baba
Acha kumsingizia mwenzako
 
miss natafuta njoo kwa babu mshana anarudisha mapenzi mme na kadhalika
 
K Kwa nini hyo situations unashindwa iepuka na ku move on?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…