Kuna tofauti kubwa sana ya kipindi hicho na sasa hivi! Kumbuka hapo tulikuwa katikati ya muhula na mzee alikuwa anataka kuwalingishia wapinzani. Sasa hivi mzee baba hana cha kupoteza kwa hiyo hataona aibu kukuchinjia baharini!Kwani akina Katambi,Kafulila,Mtatiro etc walipoteuliwa UVCCM walikuwa wapi?