Wengi wataikumbuka CHADEMA huku wakilia na kusaga meno, CCM ina wenyewe

Kabisa mkuu, na Mungu atasimama na Daudi dhidi ya Goliati
 
Kwani akina Katambi,Kafulila,Mtatiro etc walipoteuliwa UVCCM walikuwa wapi?
Kuna tofauti kubwa sana ya kipindi hicho na sasa hivi! Kumbuka hapo tulikuwa katikati ya muhula na mzee alikuwa anataka kuwalingishia wapinzani. Sasa hivi mzee baba hana cha kupoteza kwa hiyo hataona aibu kukuchinjia baharini!
 
Umeongea ukweli mtupu mh. Wakili! Nasubiri kumwona Jualilekali akideki office!🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…