HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
uchochezi upi?Polepole kasema hayo yote je kayathibitisha kwa ushahidi upi ambao utaweza kuwa utetezi kwa watakaokamatwa kwa uchochezi.
Tabia ya Watanzania kushadadia mambo bila ushahidi wa kuthibitisha wanacholishwa itawaponza kila leo.
Polepole kasema hayo yote je kayathibitisha kwa ushahidi upi ambao utaweza kuwa utetezi kwa watakaokamatwa kwa uchochezi.
Ni wazi wengi wenu utetezi wenu ni ""Polepole ndiyo alisema"" sasa za kuambiwa changanyeni na zenu joka la kijani litakapoanza ouwang'ata!!
Omba ukakague au utakagulia humu jf mbwa wewe??umeomba kukagua ukanyimwa ili uwe ushahidi wako?Utetezi mojawapo ni INEC irazimishwe watu wakague mifumo Yao na daftari lenye orodha ya watu.
Zamani kabla ya leo akiwa balozi ulimuamini,acha siasa za umalaya kuwa na msimamo siyo kurukaruka siasa siyo MTU bali SERA ,shithole!!Yaani tukuamini wewe Chawa wa Kijani tumpuuze Katibu Mwenezi?
Muwagjibisheni yeye kwanza kwa kukiri makosa yake,nyie vipi?Kumpinga Polepole ni ngumu labda wewe uje na hoja zingine za namna kura zinavyoibiwa.i polepole amesema alicho shililki Sasa hapo unakataaje
Utetezi wa pili waliokuja mtaani kwetu kukusanya taarifa ikiwepo Nida no. wachunguzweUtetezi mojawapo ni INEC irazimishwe watu wakague mifumo Yao na daftari lenye orodha ya watu.
umetumwa ?Tabia ya Watanzania kushadadia mambo bila ushahidi wa kuthibitisha wanacholishwa itawaponza kila leo.
Polepole kasema hayo yote je kayathibitisha kwa ushahidi upi ambao utaweza kuwa utetezi kwa watakaokamatwa kwa uchochezi.
Ni wazi wengi wenu utetezi wenu ni ""Polepole ndiyo alisema"" sasa za kuambiwa changanyeni na zenu joka la kijani litakapoanza ouwang'ata!!
Doria mtandaoni inaendelea......Tabia ya Watanzania kushadadia mambo bila ushahidi wa kuthibitisha wanacholishwa itawaponza kila leo.
Polepole kasema hayo yote je kayathibitisha kwa ushahidi upi ambao utaweza kuwa utetezi kwa watakaokamatwa kwa uchochezi.
Ni wazi wengi wenu utetezi wenu ni ""Polepole ndiyo alisema"" sasa za kuambiwa changanyeni na zenu joka la kijani litakapoanza ouwang'ata!!
Sasa kwanini mumuamini katibu mwenezi mmpuuze Rais?nyie ni mbwa na ni bendera fuata upepo mkibadirishiwa rangi tu kwenye basi kutoka bluu kuwa kijani baaaasi mmelidhika hamtafuti mmiliki ni nani.Yaani tukuamini wewe Chawa wa Kijani tumpuuze Katibu Mwenezi?
Kama aklivyotumwa mamakoumetumwa ?
Hakunaga ushahidi wa kusema ameshiriki ingekuwa hivyo woote wanaokiri kuua wangenyongwa tu mara moja wanaposema nimeua,ujinga wako hujui nini kinaendelea duniani na watu kama polepole wanaishi vipiKumpinga Polepole ni ngumu labda wewe uje na hoja zingine za namna kura zinavyoibiwa.i polepole amesema alicho shililki Sasa hapo unakataaje
Wengine toka balozi mitaani, bila kadi ya umoja wa vijana mambo hayaendi, mpaka chipukizi, ila tumekuwa, tumeona DUNIA kivyetu, kwa hili na mambo kadhaa ya hovyo hovyo ya chukuwachakomapema, tunasema, ENOUGH IS ENOUGH!Tabia ya Watanzania kushadadia mambo bila ushahidi wa kuthibitisha wanacholishwa itawaponza kila leo.
Polepole kasema hayo yote je kayathibitisha kwa ushahidi upi ambao utaweza kuwa utetezi kwa watakaokamatwa kwa uchochezi.
Ni wazi wengi wenu utetezi wenu ni ""Polepole ndiyo alisema"" sasa za kuambiwa changanyeni na zenu joka la kijani litakapoanza ouwang'ata!!
Kwanini umuamini kada na siyo mwenyekiti wake?baadae polepole akisema yeye ni ccm na ataendelea kuwa ccm mtaamini kipi?Polepole si ni kada tukuka wa ccm, aliaminiwa na serikali kua balozi nchi za watu.
Kama serikali ilimuamini sisi ni nani??
Kwani mwenyekiti kasema lolote??Kwanini umuamini kada na siyo mwenyekiti wake?baadae polepole akisema yeye ni ccm na ataendelea kuwa ccm mtaamini kipi?