mocker
Senior Member
- Apr 16, 2018
- 130
- 162
Sijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116]
Apambo kwa kifupi ni kwamba sikua na mahusiano kwa mda wa miaka minne na ikafika Mda ikanibidi nianzishe mahusiano na Binti flani,lakini aliishia kuniacha.
Niliweza kupata Ushauri hapa jukwaani kupitia Uzi Wangu huo nilouweka apa,na kiujumla Yule binti niliamua kumpotezea.
Hivyo siku zilivozidi kwenda nikapata binti mwingine Tukaanzisha mahusiano,mwanzoni mwa mahusiano Yetu upendo Baina Yetu ulionekana kwa kiwango cha Uchumi wa kati.Nikasema Yule ameondoka amekuja mwingne kuniponya na kunipenda na kunipa faraja.
Lakini kwa uangalifu sikuweza kumpa moyo wangu kwa asilimia kubwa maana nilitoka kuteswa na mahusiano yaliyopita.
Katika kupita kwangu nikakutana na mstari unaosema mademu kibao kwa nini?mmoja akutie mawazo,apo nikikumbuka yule binti alivyonitesa kwa kuweza kuniacha gafla kwa kisingizio ameokoka na kamrudia Mungu hivyo atokua tena na Mimi.
Hivyo nikapata mahusiano tena na binti Mwingne,kwahiyo kiujumla nikawa na mahusiano na wawili ila Uyu wa pili atukufika Mbali maana dharau zilikua nyingi na kuniomba pesa kila kukicha,nikaamua kumpotezea.
Ila lengo la kuandika Uzi huu ni Uyu binti mwingne kiujumla takribani wiki Tatu kumekua na Mabadiliko kidogo si kama Mwanzo,unaweza Mtumia sms asijibu zikapita siku mbili,unampgia simu apokeh na akupi mrejesho kwamba alikua Busy ama raha.Na akijibu atakwambia nipo Busy,yan 24hours binadamu unakuaje busy kwmba ushiki simu,pia whatsapp anaweka picha za wanaume Dp anakua onln unatm jumbe lakini ajibu,Dalili za mvua ni mawingu,nami naona hizi ni dalili za kuachwa.
Hivyo nibora niachane na suala linaloitwa mapenzi kwa sasa nifanye mambo mengne ya msingi,maana sioni kama ni mtu mwenye Bahati katika mapenzi.