Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

Wengine kama tumelaaniwa katika mahusiano ya Mapenzi!

Mwanamke huwa hapendi mtu mwenye kumuonesha mapenzi 100%. Kila muda unampigia upo wapi? Unamuandikia meseji za mapenzi.
Anakuambia anaenda sijui kwa rafiki yake, unasema sawa bila hata kuhoji.
Mfanye mwanamke yeye ndiyo hangaike kukutafuta, kukupigia simu.
Ukiamka asubuhi mcheki hata kwenye saa 5 hivi, halafu potezea. Asitake kukujua km yupo peke yake. Usijioneshe yeye ndiyo kila kitu kwake, huwezi kuishi bila yeye.
Mwanamke anapenda mikiki sana. Ushajiuliza kwann mwanamke anampenda sana Playboy?
Shida yangu ndo hiyo napenda kupitiliza,ndo maana napatwa na majanga na maumivu mwisho wa siku hapa ntajitahidi nirekebishe.

Kweli ulichosema upendo wake kwangu haupo Tena,icho kisingzio kwamba yupo busy hakina maana!Namimi nimeamua uyu nae nimpotezee,maana mwanaume kulalamika lalamika kwa mwanamke huo ni Uzembe
 
hivi mnawezaje asee yani mwanamke wako anaweka picha ya mwanaume Dp na unashangaa tu yani mimi kama sio ndugu tena kwa uthibitisho hiyo ni game over hutonisikia.
Hata kwangu nimeamua iwe FT mkuu yan sio kuweka Tu dp bali hadi Status na makopakopa [emoji3590] ila mim ajawah nipost sema ndo hivo unapg kimya tu utafanyaje
 
Hata kwangu nimeamua iwe FT mkuu yan sio kuweka Tu dp bali hadi Status na makopakopa [emoji3590] ila mim ajawah nipost sema ndo hivo unapg kimya tu utafanyaje
Achana nae huyo hajielewi kama hata hakufichi hiyo ni level ya juu ya dharau.
 
Sijuhi na Tatizo Gani na Suala la mahusiano ya kimapenzi,maana nakumbana na changamoto kwa kiasi Kikubwa.Mwezi wa Saba tar 05 niliandika Uzi ukielezea Mkasa Wangu wa kimahusiano[emoji116]
Fanya kazi achana na hii fani sio saizi yako,ukipata pesa watapenda pesa zako kiliko kujifariji kuwa hawapendi pesa
 
Unapima upendo kwa kutaftana kwenye simu!! Tatizo linaanzia hapo.
Mwanzo nilikua kama wewe, kua demu asipokujibu basi mawazo kibao.

Nikakutana na mwanangu flani yeye hajali saana mahusiano ya kwenye simu haya, nikajifunza kitu.

Kuna mda mtu anakua hana mood ya kuchart ama lah yeye sio mpenzi wa kuchart kama huyo mchizi wangu yeye ni mpenzi wa kuongea na simu na sio kuchart, huwa hajibu sms labda umpigie mmalizane.
Sasa wewe huenda madem zako hawapend the way unachart ama lah hawapend kuchart kabisa, wapigie muongee, muulize kwanini hareply text zako, ama lah kma hujui anapenda kuchart kwa app gani muulize yeye anapendelea nn whatsapp, insta , normal au "pm" ya jf 😁😁.

Mwisho kabisa usilazimishe mzee, huenda hauko romantic, we kazi yako ni kuchart tu wakati wengine wanamtoa out za hapa na pale. Au una mahusiano serious sana hadi yanaboa.
Mara nyingi nyie mnaolenga ndoa mnakuaga serious sana mpaka mnaboa.
 
Unapima upendo kwa kutaftana kwenye simu!! Tatizo linaanzia hapo.
Mwanzo nilikua kama wewe, kua demu asipokujibu basi mawazo kibao.

Nikakutana na mwanangu flani yeye hajali saana mahusiano ya kwenye simu haya, nikajifunza kitu.
Ukipiga simu pia apokeh,yupo online anaweka na Status ila ukimtmia sms ajibu,uyo mwana ako kama apendi kuchat ni yeye Tu,ila kusema watu awachati sidhan hata hz app wat wanaztmia kuchat sana!
 
Ukipiga simu pia apokeh,yupo online anaweka na Status ila ukimtmia sms ajibu,uyo mwana ako kama apendi kuchat ni yeye Tu,ila kusema watu awachati sidhan hata hz app wat wanaztmia kuchat sana!
Hujanielewa mkuu, sio wote wanapenda hizi charting na madem wengine ukiwatext normal hawajibu, labda umtext whatsapp ndo anajibu chap.

Ila huyo wako ni case nyingine. Ni hivi mkuu UMEACHWA.
 
15668 Tigo inakuletea hadithi mpya ya NDANI YA NDOA, NJE YA NDOA. Jiunge leo BURE kwa kutuma HADITHI 15A kwenda 15668, Siku ya 2 kutozwa Tsh 150/siku au piga 090166xxxxxx
 
Hujanielewa mkuu, sio wote wanapenda hizi charting na madem wengine ukiwatext normal hawajibu, labda umtext whatsapp ndo anajibu chap.

Ila huyo wako ni case nyingine. Ni hivi mkuu UMEACHWA.
Nimeachwa tu apo ila text ni mtu ajibu kote kote si normal Text wala whatsap
 
Back
Top Bottom