Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Mwanamke huwa hapendi mtu mwenye kumuonesha mapenzi 100%. Kila muda unampigia upo wapi? Unamuandikia meseji za mapenzi.
Anakuambia anaenda sijui kwa rafiki yake, unasema sawa bila hata kuhoji.
Mfanye mwanamke yeye ndiyo hangaike kukutafuta, kukupigia simu.
Ukiamka asubuhi mcheki hata kwenye saa 5 hivi, halafu potezea. Asitake kukujua km yupo peke yake. Usijioneshe yeye ndiyo kila kitu kwake, huwezi kuishi bila yeye.
Mwanamke anapenda mikiki sana. Ushajiuliza kwann mwanamke anampenda sana Playboy?

Shida yangu ndo hiyo napenda kupitiliza,ndo maana napatwa na majanga na maumivu mwisho wa siku hapa ntajitahidi nirekebishe.
Kweli ulichosema upendo wake kwangu haupo Tena,icho kisingzio kwamba yupo busy hakina maana!Namimi nimeamua uyu nae nimpotezee,maana mwanaume kulalamika lalamika kwa mwanamke huo ni Uzembe