- Thread starter
- #221
Huwez amin Mashangazi ndo mnastress sana kuliko hata Majanjaro maana wao bado wanasoko. Ko kama umeanza mapema hivi kazi unayo mpaka kufika Menopause moyo ushabaki vipande tu.
Hakuna mshangazi wenye stress. Kwanza mshangazi una hela una gari una nyumba yaani hapo nyie vijana wapenda vitonga ndio mnawamendea na ndio maana siku hizi soko limekuwa gumu kupata kijana wengi wamebeba na mishangazi