Wengine tuliumbiwa kuachwa kwenye mahusiano

Huwez amin Mashangazi ndo mnastress sana kuliko hata Majanjaro maana wao bado wanasoko. Ko kama umeanza mapema hivi kazi unayo mpaka kufika Menopause moyo ushabaki vipande tu.

Hakuna mshangazi wenye stress. Kwanza mshangazi una hela una gari una nyumba yaani hapo nyie vijana wapenda vitonga ndio mnawamendea na ndio maana siku hizi soko limekuwa gumu kupata kijana wengi wamebeba na mishangazi
 
Umeandika.kwa hesabu Sana

Kwa kifupi nakuona kama ni manzi yenye hakili mingi Sana na sio rahisi kutawalika

Na una wivu Sana japo nimpole na mwenye misimamo Sana
 
Je Ulishawai mueleza kuhusu changamoto yako ya mahusiano.Kama ulimweleza basi atakuwa anaitumia kukuumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…