Wengine wana macho ila hawaoni.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Tuwasaidie tu hawa wanachitchat na Wana MMU wenzetu kuwaonyesha wanaolandana nao.

Ukiwa member wa MMU technically unaangukia kuwa member wa chitchat..la sivyo jitangaze leo tukuvue uanachama.

Naanza.
Ushimen wanaendana saana na Thad ..nadhani wanatakiwa wachukue hatua madhubuti.

Behaviourist wanaendana na Demiss nyie hamna haja ya kuchelewa tutangazieni ndoa michango tutoe.

Asprin unaniharibia dada hata pombe hagusi wewe uwe unafuatana na manengelo.. huyu member mpya ila anaijua JF kama kwake.

nitaendelea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…