Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Najua atakuja aseme ukweli hapa maana umesema kazeka bahiliBahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua atakuja aseme ukweli hapa maana umesema kazeka bahiliBahili.
Kunywa balimi comrade, lakini tahadhari chukua uhakikishe umefunga suruali kamba miguuni, maana huwa wageni wa hiyo kinywaji hawachelewi kuharibu then wanaanza kufuatwa na Nzi....tehteehhHaha comrade bia gani izo zinaongea ngeli iliyosimama hivyo nami nibadili kunywa Heineken
Aiseee!!.... Khantwe njoo huku uone ulivyokanwa kama Petro alivyomkana Jesus!Hapana mkuu....wewe si unamjua lakini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!.....Mimi ndiyo nimemficha!!Nitafutie basi nitakulipa akija.
Mwambie akuache rafikiMkuu kalumanzila usije ukasahau au ukateleza ukaniloga mimi kwa sababu hii vita wala sijaianzisha mimi!....Please mloge muhusika mwenyewe!
Rafiki nakumiss hadi naumwa!.....Every step i take, every move i make, every single day and every time am missing you!Mwambie akuache rafiki
Heee rafikii nakumiss pia,rafiki umeanza kuvutiwa na flat screen huku kunimiss kila saa vepeeeRafiki nakumiss hadi naumwa!.....Every step i take, every move i make, every single day and every time am missing you!
list inaendelea saa ngapi?Vipi ?
Rafiki acha kuniuza chura ipo!Heee rafikii nakumiss pia,rafiki umeanza kuvutiwa na flat screen huku kunimiss kila saa vepeee
Rafiki haipooRafiki acha kuniuza chura ipo!
Rafiki please nipe ruhusa nije kukagua!....nataka nijue yaliyomo yamo?Rafiki haipoo