Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Rafiki utapigwa risasiRafiki please nipe ruhusa nije kukagua!....nataka nijue yaliyomo yamo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki utapigwa risasiRafiki please nipe ruhusa nije kukagua!....nataka nijue yaliyomo yamo?
Umeona ehwe ndo wale wale wambea na viherehere wa mambo ya watu.
Angekunyoosha.Kwa anavyowachana wanaume hapa kinadada mnaita kuchamba.
Nikimwona nakimbia hahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bonny yupo nadhani atakuwa na kaid kapya ana umri wa miaka 22 sasa.Shaachana nae zamaniiii. Hivi Bonny yupo jamani, ujue ni mkwe wangu nisompenda huyo!!
Cc Heaven Sent
Ndio size yako sasa.Kuna wanawake mnajua kuaibisha.
Mwenza naona unaanza kampeni za chini chini.
Heri nipigwe risasi kuliko nikose chura!Rafiki utapigwa risasi
Ndo mana yake.Kwa anavyowachana wanaume hapa kinadada mnaita kuchamba.
Nikimwona nakimbia hahaha[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Rafiki huyo mkunaji ni nani?Waooooh chura langu limepata mkunaji
Duuh... Chukulia jinsia yako kisha niambie..
Vijana kama nyie mnakufa mapema kila jambo serious na bahati mbaya wengi mnakufa maskini.