Uchaguzi 2020 Wenje asikia kilio cha wananchi, atangaza Kugombea ubunge Jimbo la Rorya

Uchaguzi 2020 Wenje asikia kilio cha wananchi, atangaza Kugombea ubunge Jimbo la Rorya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Sitogombea Ubunge Jimbo la Nyamagana, lakini 2020 Ninarudi Bungeni hivyo Niombee ( 480 X 640 ).jpg

Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe, kwamba huko Rorya ndio kwao na sasa amedhamiria kuondoa ombwe la uongozi lililokuwepo.
 
Alijiaminisha atapita tena second term nyamagana! Hana hamu napo.
 
Ndo mjue hawa watu ni wasanii tu,wanatafuta pesa,kama nyumbaninkwake kulikua ni Nyamagana amekimbilia nini nyumbani mwa watu kusiko muhusu? Wasanii tu hawa
Yaani najiuliza hivi inakuaje Paramagamba aende kugombea huko Moro wilayani?Hapo ndipo nakubali usanii upo sana na kupenda pesa.
 
Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe, kwamba huko Rorya ndio kwao na sasa amedhamiria kuondoa ombwe la uongozi lililokuwepo.
Alipokuwa Nyamagana Wenje na madiwani wa Chadema walitaka kuuza uwanja wa nyagana. Na madiwani wa Ccm walimfuata JPM ndio akazuia uwanja wa Nyamagana usiuzwe. Kwa hiyo ni mpiga dili hata huko Rorya hawezi kupata kitu.
 
wanasiasa huwa hawaachi hii danganya toto tu??

sidhani Kama Kuna wananchi huwa wanalilia mtu agombee ubunge??
 
Back
Top Bottom