Uchaguzi 2020 Wenje asikia kilio cha wananchi, atangaza Kugombea ubunge Jimbo la Rorya

Alipokuwa Nyamagana Wenje na madiwani wa Chadema walitaka kuuza uwanja wa nyagana. Na madiwani wa Ccm walimfuata JPM ndio akazuia uwanja wa Nyamagana usiuzwe. Kwa hiyo ni mpiga dili hata huko Rorya hawezi kupata kitu.
jikite kwenye mada
 
Ndo mjue hawa watu ni wasanii tu,wanatafuta pesa,kama nyumbaninkwake kulikua ni Nyamagana amekimbilia nini nyumbani mwa watu kusiko muhusu? Wasanii tu hawa
Ikiwa ndivyo usimsahau na Polopesa wa Ujalalani!!!
 
Alipokuwa Nyamagana Wenje na madiwani wa Chadema walitaka kuuza uwanja wa nyagana. Na madiwani wa Ccm walimfuata JPM ndio akazuia uwanja wa Nyamagana usiuzwe. Kwa hiyo ni mpiga dili hata huko Rorya hawezi kupata kitu.
Meya na naibu meya walitoka chama gani wakati huo?
Je mgogoro wa Nyamagana ulianza wakati gani?
 
Nikukokotolee habari kwa ufupi toka kwa kada mwenzio:

maandamano kulilia nyamagana

Hiyo ni mwaka 2008 je Wenje alikuwa mbunge wakati huo?
Mkitaka kuwa waongo msiwe wasahaulifu... ni makada wa fisiemu walizidiwa nguvu na umma wa wanaMwanza ndipo ikabidi wateme ngese!!
Hii ilikuwa awamu ya kwanza. 2010-2015 walitaka kuuza tena ijengwe hotel Chadema wanahusika.
 
Hayo maandamano ni 2008 haiwezi kubadilika itabaki kuwa hivyo ila unaruhusiwa kujitoa ufahamu na kubadili kalenda. Soma vema hiyo link japo kusoma si jadi yenu
 
Nikukokotolee habari kwa ufupi toka kwa kada mwenzio:

maandamano kulilia nyamagana

Hiyo ni mwaka 2008 je Wenje alikuwa mbunge wakati huo?
Mkitaka kuwa waongo msiwe wasahaulifu... ni makada wa fisiemu walizidiwa nguvu na umma wa wanaMwanza ndipo ikabidi wateme ngese!!
Bhiku Kotecha na madiwani wa Ccm walinusuru uwanja wa Nyagana usiuzwe na viongozi wa Chadema.
 
Ni Bhiku pekee upande wa CCM aliyesimama kuzuia ulaji wa mafisi na kama hutokosa aibu ni mwaka 2012 Fifa walipotoa fedha za ufadhili $500,000 ili uwanja huo uwekewe nyasi bandia.
NB: ongeza juhudi ya kupiga vigelegele na kukata kiunu na ukumbuke kushika ilani wakubwa huenda wakakuona
 
Acha matusi ya rejareja. Kuwa na heshima hapa tunajadili ukweli wa mambo sio kukata viuno.
 
Hakuna matusi hapo... unataka kuupindisha ukweli kwa manufaa ya nani? Hiyo habari ya toka blog ya Issa Michuzi nimeiweka ni ya 2008 eewe unasema ni 2010-2015 ili iweje kama sio....?
 
Kwani Bhiku na wana Ccm hawakupigania uwanja usiuzwe 2010-2015? Wenje na wanachadema walitaka uuzwe.
 
Niulize habari za 2010-2015. Huko nyuma lala nazo mbele.
Hapo umethibitisha ambacho ulikiita matusi ya rejareja
Hitimisho: CCM BILA UFUSKA, UZUSHI, UNAFIKI, UZANDIKI, MAJUNGU, UFISADI NA KILA AINA YA UOZO PASI KUSAHAU KUSHIKIWA AKILI NA WAABUDIWAO HAIWEZI KUWA FISIEMU!!!
 
Nyamagana alijiita mtoto wa mama ntilie sijui time hii atajiita mtoto wa bar maid!
 
Back
Top Bottom