Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
jikite kwenye madaAlipokuwa Nyamagana Wenje na madiwani wa Chadema walitaka kuuza uwanja wa nyagana. Na madiwani wa Ccm walimfuata JPM ndio akazuia uwanja wa Nyamagana usiuzwe. Kwa hiyo ni mpiga dili hata huko Rorya hawezi kupata kitu.