Wenje: Chadema wapo watu wa aina mbili, wenye vyeo na kama huna cheo basi ni mkunja ngumi

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Ezekiah Wenje ambae anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema taifa na ambae ni mfuasi wa Mbowe anasema "ndani ya Chadema huwa tunasema kama huna cheo basi utakuwa mkunja ngumi tu"

Kwenu makamanda mtakaoambiwa na Mbowe "Kunja ngumi kamanda" mjue hiyo ni kazi yenu kama huna cheo.
 
Matusi makubwa haya wajumbe kama wanajitambua huyu aambulie kura yake tu,kama hajui kuwa hata hiyo ruzuku wanayotumbua inaletwa na hao anaowaita wakunja ngumi basi hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi Wajaluo wana dharau sana.
 
Nyumbu huwa hazielewi tukiziita nyumbu
 
Reactions: G4N
Haya Sasa ni matusi ya nguoni kwa wabangaizaji
 
Kwahy amechoka kuwa mkunja ngumi naye anataka kuwa na cheo πŸ˜‚
Ila chadema πŸ™Œ binafsi sio shabiki wa vyama ila chadema hapana aisee
 
Matusi makubwa haya wajumbe kama wanajitambua huyu aambulie kura yake tu,kama hajui kuwa hata hiyo ruzuku wanayotumbua inaletwa na hao anaowaita wakunja ngumi basi hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi Wajaluo wana dharau sana.
Mbowe naye naye alituita wabangaizaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…