tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
"Tuendelee kupigania reforms, tupate reforms za kweli, twende kwenye uchaguzi wa kweli tutakapopata hizo reforms, kwahiyo hiki kinachotokea hapa ni ndoto",- Wenje.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, akizungumza Septemba 2, 2025 kupitia Baraza la Kidigitali la chama hicho.
Ikumbukwe Wenje amejiunga na chama Cha Mapinduzi CCM jana Oktoba 13, 2025 wakati wa kampeni za chama hicho zilizofanyika Chato, Mkoani Geita.