Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
"kile Chama kinashinda kwenye mitandao toka asubuhi, mchana na usiku na kazi yao ni kutukana, hawana mipango, hawana mikakati- wamegota. Mimi ninaamini katika taifa tunapaswa kutofautiana kwenye sera za kilimo, afya, maji lakini linapokuja suala la ulinzi na usalama na amani ya nchi yetu hilo ni jambo lisilohitaji mjadala." - Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje Ameyazunguma Oktoba 18, 2025 huko Mpanda