Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Huyu ndiye aliyempeleka Abdul wa sa100 chadema kugawa pesa ili kukisambaratisha, juhudi zile zilizimwa na Lissu...ilikuwa suala la muda tu, huyu angepigwa chini!Yote ya yote, kuna shida kubwa sana hapo chadema.
Mkakati wako ni kuwa sehemu ya wasaliti wa taifa letu,hongera kwa uamuzi wako japo unyamazi usisidi kuwakera wazalendo."kile Chama kinashinda kwenye mitandao toka asubuhi, mchana na usiku na kazi yao ni kutukana, hawana mipango, hawana mikakati- wamegota. Mimi ninaamini katika taifa tunapaswa kutofautiana kwenye sera za kilimo, afya, maji lakini linapokuja suala la ulinzi na usalama na amani ya nchi yetu hilo ni jambo lisilohitaji mjadala." - Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje Ameyazunguma Oktoba 18, 2025 huko Mpanda
Bado kidogo atabaki kuwa historia"kile Chama kinashinda kwenye mitandao toka asubuhi, mchana na usiku na kazi yao ni kutukana, hawana mipango, hawana mikakati- wamegota. Mimi ninaamini katika taifa tunapaswa kutofautiana kwenye sera za kilimo, afya, maji lakini linapokuja suala la ulinzi na usalama na amani ya nchi yetu hilo ni jambo lisilohitaji mjadala." - Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje Ameyazunguma Oktoba 18, 2025 huko Mpanda