Wenje: Lissu akiwa Mwenyekiti wa Chadema, ndani ya mwaka mmoja wanachama watamfukuza

Wenje: Lissu akiwa Mwenyekiti wa Chadema, ndani ya mwaka mmoja wanachama watamfukuza

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kumekucha, hata akiingia atafukuzwa na wana chama.

Hii ni kauli ya Wenje wakati akihojiwa na wasafi media.

Screenshot_20241231-134622.jpg
 
Hakuna kitu, huyo Wenje anataka Chama kibakie cha kulambalamba asali Lissu sio mla RUSHWA na alikataa RUSHWA ya Abduli na Mshenga wake Wenje.
 
Hiyo ni Mwenyekiti wa chama! Vipi walipo taka awe rais?

Machadema ni kundi la wahuni ndio maana Magu aliwadharau sana
Angekuwa Rais angekuwa anaenda haja ndogo hadharani, adabu yake ndogo sana
 
Back
Top Bottom