Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!

Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!

Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje

Siasa za Afrika ni kuchambana tu hakuna la maana wanaloongea
Mpaka muuwane kisa madaraka
Povu linawatoka kisa matumbo ya njaa
Wote hali moja popote uendapo nchi masikini
 
Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.

2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?

Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
 
Uchaguzi mkuu ni kila baada ya miaka mitano sio jambo la dharula, cha kishangaza hawa mafisadi hawana hela, pesa za join the chain zilenda wapi?
 
Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.

2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?

Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
Same logic tui apply kwa Mbowe. Haya yote mnayoyasema kwa Mbowe hamkuyajua kwa miaka 20?Au mmeyajua baada ya kuchukua fomu na kutomuachia nafasi ya Uenyekiti Lissu?Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usitupe mawe au else.......
Same question mlikuwa wapi tokea 2004?
 
Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.

2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?

Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
kwani yeye alikuwa wapi kuyasema ya mbowe? wote wanafiki hakuna mkweli hapo
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.

2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?

Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??

Yeye alikuwa wapi kuyasema anayosema???
Au alisubiri achukue fomu ndiyo asema???
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom