Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA

Wenje: Lissu mpaka anamaliza bunge la 11 hajachangia hata tsh.100 CHADEMA

Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!

Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!

Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje

Lissu sio mjinga achangie pesa wakati anajua zinaenda kuibiwa. Wajinga ndio waliwao
 
Same logic tui apply kwa Mbowe. Haya yote mnayoyasema kwa Mbowe hamkuyajua kwa miaka 20?Au mmeyajua baada ya kuchukua fomu na kutomuachia nafasi ya Uenyekiti Lissu?Ukiwa kwenye nyumba ya vioo usitupe mawe au else.......
Same question mlikuwa wapi tokea 2004?
Waraka wa Chacha Wangwe unaposema Mbowe alifoji majina ya viti maalum, ndiyo kwanza wengine tunaona mitandaoni. Umetufunua kuwa hata COVID-19 kawapeleka yeye.

Tuhuma za kwamba anakikopesha chama na kukidai hazijaanza leo. Zito, Kitila, na Chacha Wangwe walisema miaka hiyo

Kung'ang'ania madaraka siyo jambo geni. Ndiye yeye aliondoa ukomo kwenye katiba ya chadema.

Uliza swali lingine ujibiwe
 
kwani yeye alikuwa wapi kuyasema ya mbowe? wote wanafiki hakuna mkweli hapo
Aliyoyasema Lisu hakuna hata moja ambako ni jipya.

Kwamba Mbowe anachota fedha za chama na kujifanya anakikopesha chama Wangwe, Zitto, Kitila n.k walisema.

Hebu Lete jambo jipya ambako Lisu kalisema
 
Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.

2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?

Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
Wamelazimishwa kuyasema mapungufu yake baada ya Lissu kuwashutumu wenzake huvyo lazima nao waonyeshe kwa data jinsi ambavyo Lissu hafai.
 
Ajabu sana
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Bunge la 11 kulikua na mama Abduli? Mbowe sio mjinga kushindwa kumuachia Lissu Chama!
Yaani ukiwasikiliza watetezi wa Lissu unabaki unacheka,wameishiwa pumzi kabisa wanafikiri siasa ni kufoka foka.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Chama kimeshagawanyika. Chama kipya kitazaliwa au kuwa adopted na kitakuwa na nguvu sawa au kuzidi chadema.
Hatimaye nguruwe kala mwanaye
Kwa pesa hipi ?.Lissu si lolote si chochote.
 
Kuna kitu hakipo sawa Kwa Watu kama Wenje....!
Tunadhani kwamba ni Chadema kumbe sio Mwana Chadema...!

Huwezi kuona Kampeni kama hizi Kwa CCM wakiwa wanatafuta Viongozi wao wa Ndani.
 
Ni CCM Pekee na Team Mbowe ambao kwa sasa hawamtaki Lissu!
 
Mkutano mkuu wa uchaguzi unagharinu shilingi milioni 700.
Wajumbe wa Kamati Kuu waliambiwa wachange kati ya milioni 20 na 30 ili kugharimia gharama za Mkutano Mkuu.
Mbowe katoa milioni 250,Lissu aliambiwa atowe milioni 30 mpaka sasa hivi hajatoa hata senti moja.
Commitment ya kujenga na kulea Chama sio kwa matamko tu kwenye vyombo vya habari na kuropoka,bali ni kuonyesha kwa hali na mali unakifanyia nini Chama.Hasa ukitilia maanani Chadema haina miradi ya kuiingizia pesa.
Talk is cheap.
 
Yaani ukiwasikiliza watetezi wa Lissu unabaki unacheka,wameishiwa pumzi kabisa wanafikiri siasa ni kufoka foka.
Mwenyewe aliingia kwa shari maskini!! Akajua akina Slaa na mashujaa wengine wa mitandaoni ndo wenye CHADEMA!! POOR HIM!!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Duh!
Naona Wenje kaamua kumkalia kooni Tundu Lissu anafumua kila kilichojificha!

Je anayoyasema yanaukweli kiasi gani ? au ndiyo kampeni za kuchafuana. Ila aweke akiba ya maneno maana sisi ni People tutakutana tu!

Unapokuwa Mbunge wa CHADEMA unachangia Chama, Lissu mpaka anamaliza Bunge la 11 hajachangia hata Tsh.100 CHADEMA“ - Wenje

H

Aahaa uwongooo
 
Duh!!siasa ngumu,ukitaka siri zako ziwe hadharani,ingia kwenye siasa halafu uwe mbishi.
 
Wamelazimishwa kuyasema mapungufu yake baada ya Lissu kuwashutumu wenzake huvyo lazima nao waonyeshe kwa data jinsi ambavyo Lissu hafai.
Hizo data wazilete tuzione. Maana data za Mbowe ziko wazi.

** Alighushi majina ya viti maalum mwaka 2005 (rejea waraka wa Chacha Wangwe).

**Amewaingiza COVID-19 bungeni kinyemela.

**Amechukua mabilioni ya Abdul na kuyatumia kwenye uchaguzi na kutaka kumhonga Lisu.
 
Tangu 2011 alikuwa hachangii halafu hamkumuondoa, mkampa na nafasi ya kugombea urais pamoja na umakamu mwenyekiti.

2024 kachukuwa fomu ya kugombea uenyekiti ndiyo mnatafuta kasoro zake?

Mlikuwa wapi kuyasemea haya tangu 2011??
Umetoa hoja makini
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Hizo data wazilete tuzione. Maana data za Mbowe ziko wazi.

** Alighushi majina ya viti maalum mwaka 2005 (rejea waraka wa Chacha Wangwe).

**Amewaingiza COVID-19 bungeni kinyemela.

**Amechukua mabilioni ya Abdul na kuyatumia kwenye uchaguzi na kutaka kumhonga Lisu.,
Hizo ni nukuu sio evidence kuwa fulani kasema.

Dada yake Lissu aliishawahi kuwa mbunge wa viti maalum unalijua hilo?
 
Now its full brown lissu will pick them one by one

Mtu kahojiwa na BBC hard talk mnamletea hizi ngonjera lissu sumbua mwendazake hadi aka order assassination

Wataweza hawa aisee
 
Back
Top Bottom